Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,455
- 2,888
Cabo Delgado, Amigu Amigu 😅😅😅Mi "Nimekula sana MBUNYE" za wavaa w majuba na hijabu" wapo vizuri, Kuna mmoja anamaliza vyungu vya mwisho, baada ya Eid naanza Kunyandua Tena🤣🤣🤣🤣
Cabo Delgado, Amigu Amigu 😅😅😅Mi "Nimekula sana MBUNYE" za wavaa w majuba na hijabu" wapo vizuri, Kuna mmoja anamaliza vyungu vya mwisho, baada ya Eid naanza Kunyandua Tena🤣🤣🤣🤣
Walikuwa waabudu miungu, maana baba yake alikuwa mchonga sanamu, Tena hapo alikuwa akiitwa Abram akiwa mpaganiKwani Ibrahimu alikuwa dini gani?na unajua maana ya Uisilamu tafsiri yake?
Labda hiyo ni kwa upande wa dini yenu.Walikuwa waabudu miungu, maana baba yake alikuwa mchonga sanamu, Tena hapo alikuwa akiitwa Abram akiwa mpagani
"Na hatukukutuma isipokuwa kwa watu wote, uwe mtoa bishara na mwonyaji, lakini watu wengi hawajui."Uislamu ni utamaduni wa kiarabu
Mavazi,chakula,majengo
Nyinyi mmeiga tu utamaduni wao
"Na ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo, lakini alikuwa mpwekeshaji muislamu na wala hakuwa katika washirikina."Walikuwa waabudu miungu, maana baba yake alikuwa mchonga sanamu, Tena hapo alikuwa akiitwa Abram akiwa mpagani
Baba yake ndiye alikuwa mwabudu sanamu,lakini yeye hakuwai kuabudi sanamu yeye alikuwa MuisilamuWalikuwa waabudu miungu, maana baba yake alikuwa mchonga sanamu, Tena hapo alikuwa akiitwa Abram akiwa mpagani
Siyo Amigu ni Amigo akiwa mwanume,akiwa mwanamke AmigaCabo Delgado, Amigu Amigu 😅😅😅
Kwani Tamaduni ya Kutumia Maji Unapoenda Chooni Imeletwa na Nani?Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Aksante sana kwa kunisahihisha, Obligado 🙏🙏Siyo Amigu ni Amigo akiwa mwanume,akiwa mwanamke Amiga
Kama unamshukhuru mwanaume unasema obrigado,na kama unamshukhuru mwanamke unasema obrigadaAksante sana kwa kunisahihisha, Obligado 🙏🙏
Ibrahim kabla akiitwa Abram na baba yake alikuwa mchonga sanamu au vinyago, alipoitwa yeye Abram akatoka Uru wa Wakalidayo huko ndipo MUNGU alimuita Ibrahim na mkewe Sara badala ya Sarai, na alitoka akiwa na umri wa 75yrs huko HaraniLabda hiyo ni kwa upande wa dini yenu.
Acha wehu wapi nimeandika alikuwa myahudi, huyo ibrahim wakwako , lakini Ibrahim aliyemzaa Isaka, akaja Yakobo alitokea Uru wa Wakaldayo kasome Mwanzo 11:27-32, toa huo mcharazo wako usioeleweka"Na ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo, lakini alikuwa mpwekeshaji muislamu na wala hakuwa katika washirikina."
Qu'ran 3:67
Na torati na injili vimekuja baada yake to make records clear.
Kwahiyo Uislam umekuja kabla Mohamed mnayekula pilau lake Leo hii? Ha ha ha ha jamani ! Sasa wewe si alikuwa hapo hapo Kwa Baba yake ndiyo akachomolewa hapo kama Gideon wakitabu Cha Waamuzi baba yake Yoashi si alikuwa na miunguBaba yake ndiye alikuwa mwabudu sanamu,lakini yeye hakuwai kuabudi sanamu yeye alikuwa Muisilamu
Aiseeeee!!!Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
DuuuuUmeleta tende
Kujilipua? Eti kufia dini? Ndiyo maendeleo?Uislam umeleta AMANI
SawaIbrahim kabla akiitwa Abram na baba yake alikuwa mchonga sanamu au vinyago, alipoitwa yeye Abram akatoka Uru wa Wakalidayo huko ndipo MUNGU alimuita Ibrahim na mkewe Sara badala ya Sarai, na alitoka akiwa na umri wa 75yrs huko Harani
Sasa kipindi cha Ibrahim kulikuwa na Uislam?