Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 6,991
- 7,246
Uislam ulianza na Nabii Adamhapo sasa na hapo ndipo wengi wanapochanganya, uislamu ulianzishwa karne ya 7 na Muhamad yaani miaka zaidi ya 600 baada ya Christo, kabla ya Muhamad hakukuwa na uislamu na waarabu hawakuwa waislamu, kwanza sehemu kubwa ya uislamuni ya leo kama uturuki, siria, mpaka irak na north afrika yote ilikuwa ni Christian …