Zao la haluwa, mdalasini na tende. Bila kusahau urojo.Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Amani Jina auUislam umeleta AMANI
Wewe umeuliza uislamu umeleta Nini hapa pwani au nchini kwetu.kivipi? uislamu umeanza karne ya 7 baada ya Kristo, yaani miaka 700 baadaye Yesu Kristo kuishi ndiyo uislamu ukaanzishwa wakati huo kulikuwa na Biblia takatifu tayari, sasa iweje uislamu uwe ulileta kalamu na karatasi na kusoma na kuandika? Karne ya 1 baada ya Kristo uislamu haukuwepo, ulianzishwa miaka 700 baadaye wakati tayari kulikuwa na civilizations nyingi tu, usichanganye uarabu na uislamu, ingawaje vinafanana lkn ni tofauti …
Sasa kipindi cha Ibrahim kulikuwa na Uislam?Ni nzuri ili tuweza kuwaelimisha wengine,kuna inchi zilikuwa na Ustarabu mpaka wakoloni wenyewe walishanga,kuna Nyumba wanajua Mzungu na ukristo ndivyo vilivyoleta ustarabu, umeshawahi kusikia historia ya Misri? Mungu mwenyewe anamwambia nabii Ibrahimu,usikae bure tembeatembea ukaone wenzako walivyostarabika,anafika Misri na kukutana na bonge la mji likiwa na kila kitu,mpaka wakamya'nganya mke wake Sala?
Uhuru wa Tanganyika uliletwa na Waislamu na Wakristo.Uhuru wa Tanganyika umeletwa na Waislam
Soma historia
View attachment 3287187
Unamjua huyu Mwarabu Muislam Mohammed Said Al Murjabi?!
Unawajua wazungu wakristo walionunua watumwa zanzibar?
Niambie majina ya WAZUNGU walioasisi biashara ya UTUMWA katika AFRIKA YA MASHARIKI?!
Umeleta chuki za watu kuita wenzao makafiri kana kwamba wao siyo.Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Jifunze kwanza kutofautisha herufi "L" na "R" ndio ulete upupu wako hapa we kenge.Umejibu vizuri na wakumbuke kuna miji mikubwa ilizariwa kutokana na Uisilamu, kama vile Kilwa ikiwa na ustalabu wa kutosha,mfano Vasco dagama alipofika Kilwa aliikuta ni Inchi ikiwa na muundo wa utawala wa selikari pamoja na hera yake,yaani kulikuwa na ustarabu wa kutosha, na ilikuwa ikifanya biashara na inchi za mbali lakini walipokuja wazungu wenye wivu kama wewe mleta maada waliiangamiza ile miji ili kufuta historia zake waweze kutuletea huu ujinga ambao unaitwa demokrasia,
Wakati mjerumani anaivamia bara kutoka zanzibar aliwakuta kina Abushiri,Milambo,Mkwawa na wengine wakiwa wanajua kuandika na kusoma kwa lugha ya kiarabu na wamestarabika na huo ustarabu ulitokana na Uisilamu,ila walioandika histori yetu waliipotosha ili ioneka walikuta watu wajinga kama wewe mleta maada,
Zanzibar ilikuwa na kila kitu mpaka na ubalozi,Treni,Shule,Vyuo, Vitabu maghorofa, hiyo sababu ya Uisilamu,lakini hapo Mzizima Daresalam yalikuwa mapori yakiwa na simba,kumbuka Sultani ndiye aliyekuja kujenga Ikulu ya Daresalam hapo magogoni badaye sanaaa,
I
Ni kweli hujui au unataka ubishi tu!?Nitajie lililopo Dar sasa
WasukumaNitajie lililopo Dar sasa
Mkuu watakujibu hivyo vimeletwa na WAARABU na sio uislam😂Minazi, miembe, lugha, maandishi, utamaduni wa kiarabu, majina, mavazi
Mkuu ni vyema mgeanza kwanza kusema Ukristo au uhindu or whatever umeleta nini ili ipatikane aspect ya kujadiliNasikitika ndugu zangu waislamu.
Hakuna hata mmoja aliyeweza kujielezea kuhusu uislamu Umefanya nini.
Ina maana hii Dini haijafanya jambo lolote la Maana????
Mbona wanadai uislamu ni sayansi
Nisije nikaidharau hii dini bila sababu jielezeni uislamu umefanya nini cha maana.
Mtu walau aje na hoja 10
Uislamu ni utamaduni wa kiarabuNi dola ya kiislamu, uislamu sio utamaduni ni dini ni mamoja waumini ni wakurya au wachewa.
Nashukhuru bwana kwa kunitukana,usizani wote tumesomea Lugha ya Kiswahili,ningesema niandike kwa Lugha niliyosomea sizani hata huo upupu ungeuona, filho da putaJifunze kwanza kutofautisha herufi "L" na "R" ndio ulete upupu wako hapa we kenge.
Kwani Ibrahimu alikuwa dini gani?na unajua maana ya Uisilamu tafsiri yake?Sasa kipindi cha Ibrahim kulikuwa na Uislam?