Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 868
- 1,424
Kiukweli inasikitisha sana Kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ilielekeza lines zote za simu zisajiliwe Kwa kutumia vitambulisho vya NIDA ilu ktambua watumiaji na kuepusha uhalufu lakini leo hii lines za simu hasa hasa za TTCL zinatumika sana kutapeli watu.
Kumekuwa na ongezeko la sms za matapeli wa mi kutumia simu na tangu mwaka jana 2020 hadi leo tunatumiwa sms nyingi za utapeli mara jiunge Freemason, mara waganga waganguzi mara utapata pesa za bure, mara hiyo hela itume kwenye namba hii kutoka Kwa matapeli. Hutuma SMS hizo kwa namba za TTCL na ndani ya ujumbe huweka namba za mitandao mingine ili kutuibia kirahisi na hao matapeli wanaambiana TTCL hakuna kikwazo hivyo wana lines nyingi mno.
Nimeliona Jambo hili muda mrefu nikajua wahusika watalifanyia kazi lakini wapi linazidi kukua siku baada ya siku.Wahusika wamelala na hawashtuki na utapeli unaendelea. Mitandao mingine tapeli akiweka keywords za utapeli tu hiyo SMS haiendi ila kampuni ya TTCL ndiyo loop hole ya kuumiza watu wasio na hatia. Tafadhali TCRA timizeni wajibu wenu na TTCL ambao mnashindana sokoni na makampuni mengine amkeni acheni kampuni ya watanzania ikue sio idharauliwe Kwa udhaifu wa Kila aina kama hivyo, network problems, internet isiyoaminika, marketing campaigns mbovu.
Mifano hii hapa chini nimeblock sms na bado sms mpya za kitapeli zinazidi kuniandama
Kutoka 0743 804049
FREEMASONI jiunge na chama cha (666) upate utajiri umiliki mali piga No 0783442002 kulipia form galama Yake 22000 uweze jiunga.
0734 992288
DADA MPIGIE UYU MZEE NI MTALAAM MZURI,ANATOA MALI BILA KAFARA,ANARUDISHA MALI ILIYO POTEA,BIASHARA,NDOA,NAMBA YAKE 0685685608 ATAKUSAIDIA HATA UKIWA MBALI
0784 309633
Za leo mzazi samahani mm ni mwl. Mtoto wako anaumwa huku shuleni ameanguka gafla tunakuomba tuwasiliane haraka!
0734 745264
MPIGIE MZEE SALIM KWA TIBA KUMILIKI MALI BILA KAFARA MAPENZI,KESI,NYOTA,BIASHARA,PETE,PESA ZA MAJINI PIGA 0710312777 TIBA ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO
0734 976239
Iyo hela itume kwenye namba hii ya tigo 0679755586 jina ni SHUKRAN MBWAMA
0734 684189
MPIGIE SHEKHE SAID KWATIBA KUMILIKI MALI BILA KAFARA MAPENZI, KESI,NYOTA,BIASHARA,PESA,ZA MAJINI PIGA 0678514054 ANATOA PETE YA BAHATI NA CHENI,
0734 601144
MPIGIE MZEEMKUYU KWA TIBAHASILIA KUMILIKI P'ESA BILA KAFARA PETE PESA ZAMAJINI KESI MAPENZI PIGA NO. 0710031783 MALIPO BAADA YAMAFANIKIO
0734 642637
dk kamchape toka kirando zindiko,mali,mvuto,chuma ulete,ugumba/utasa,kesi,kisasi,kurudisha kitu,pete, nk kwa mahitaji piga 0784492180
0734 000283
(666) JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREEMASON UMILIKI PESA PETE YA BAHATI BIASHALA VIPAJI BILAKUTOA KAFALA KAMA UPOTAYALI KUJIUNGA PIGA SM NO 0734657351
0734 732495
(0719215272)unaitaji kufanikiwa kiuchumi.free masoni itakupatia utajiri wa bila kafara.kwa mawasiliano piga namba hii (0719215272)
0734 912035
iyo hela tuma tu kwenye namba hii ya tigo 0717833122 jina ni FRORA SANGA ile usitumie
0734 679765
Dada mpigie uyu mzee alie nisaidia. Anatoa Mali bila kafara.Anakuza Mtaji.Biashara.Ndoa,NAMBA YAKE 0658975346 iyo siri yako
0734 613004
TIMIZA NDOTO YAKO JIUNGE NAMTANDAO MKUBWA FREEMASON UMILIKI PESA MAJUMBA MAGARI BILA KUTOA KAFARA KAMA UPO TAYARI KUJIUNGA PIGA SIM NAMBA.0734613685
0737 121601
mzee kazumba mtaalamu wa tiba za asili biashara, kazi, masomo, uzazi, utajili, pete ya baati, maribirakafara,kumludisha mme &mke no(0734737264)au (0672980842)
0734 557121
Basi hiyo hela itume tu kwa namba hii ya Airtel 0692417519 jina litakuja PLASKEDA KAPUFI ile namba nyingine ina matatizo.
0734 556049
mzee MGALULA mtaalam wa tiba za asili biashara,masomo utajili&peteyabahati,mali bila kafara uzazi ,kuludisha mke&mme,no(0714509889)
0746 540554
mzee NJELU bingwa watiba asili biashala kazi masomo utajili peteyabahati nguvuza kiume kumludisha+mme&mke"no(0747845533)au(0625886203)