Didia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 719
- 258
Ndg. Wapendwa jana katika tarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC walitangaza kuwa kiwango cha kufaulu matokeo kidato cha nne "chapanda" ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hata Thread iliyokuwa ikipita chini ya luninga ilisoma hivyo. Tofauti na TBC, TV nyingine zilisema kiwango kimeshuka! hata magazeti ya leo yanathibitisha hilo!.
Swali, TBC walilenga kumdanganya nani? kwa malengo/makusudi/ gani? na manufaa ya nani? Chombo cha Umma kinapiga siasa hata katika maswala ya msingi kweli! Kunahaja ya kuwa na taasisi ya umma potofu kama hii?