kuna redio inaitwa imani?
mtasema sana.hii ndio redio yetu ,sasa ina sambaa mikoa yote
Serikali ikaanza kupiga ban vyombo habari ' chochezi', JF itakuwa ya kwanza! Vumilia tu ndugu!
mtasema sana.hii ndio redio yetu ,sasa ina sambaa mikoa yote
Hata wao wanajua kuwa Serikali yao ni gelegeleKwanini hii radio haipati ban?? Au kuna mkono wa hii serikali??
Mungu anavyoipenda tz hii radio haiwezi kusambaa hata kidogo itaishia tu kulalamalalama
Wakristu wanaanzisha vyombo vya habari ili kueneza habari njema ya upendo na amani kwa watu wote lakini ndugu zetu waislam lengo lao ni kueneza chuki dhidi ya ukristo.Mtoa mada analake tu.Haishangazi kuona mnalalamikia radio imani.Tunajua hampendi kusikia wala kuona waislam wanaendelea katika nyanja zozote. Hilo litaendelea kuwauma na mpaka mnaingia kaburini nuru ya Uislam hamtaweza kuizima. Na kwataarifa yenu radio Imani iko 80% ya nchi yote,hivyo kama unadhani ipo Dar na Moro basi mmenoa. Kazi iliyobaki ni kumalizia 20% iliyobaki.Wenye roho mbaya na Uislam mpo? TV Imani nayo January hii itakuwa hewani. Kwa taarifa yenu tuko kamili,na kama mlidhan hatuwezi hapo mmechemsha.