Hivi serikali ya JK haiuoni uchochezi unaofanywa na RADIO IMANI?

Status
Not open for further replies.
sidhani kama nitafaidika na kitu au jambo jipya kwa kuisikiliza radio hiyo,na sidhani kama kuna ninachokosa kwa kutoisikiliza. Labda nielimishwe.

kwa kukusaidia tu ni kwamba radio imani itakupa utulivu wa nafsi kwani hakuna mamiziki, itakupa uwezo wa kujadili na kujenga hoja, isikilize kwa umakini ili uchanganye akili za kuambiwa na za kwako, kumbuka dunia ya sasa haki inachukiwa na uovu ndio unapendwa. Tafakari, chukua hatua.
 
kwa kukusaidia tu ni kwamba radio imani itakupa utulivu wa nafsi kwani hakuna mamiziki, itakupa uwezo wa kujadili na kujenga hoja, isikilize kwa umakini ili uchanganye akili za kuambiwa na za kwako, kumbuka dunia ya sasa haki inachukiwa na uovu ndio unapendwa. Tafakari, chukua hatua.

Hoja gani za maana za kusema Yesu sio Mungu au raisi ajae lazima awe muislam au waislam wanadhulumiwa au waislam wasisherekehe krismasi au vyuo vingi ni vya wakristo aisee mnachekesha njooni tuwaombee tuwatoe mapepo na majini mnayoyafuga maana yanawapumbaza akili
 
Wengi tunarithi dini za wazazi wetu ndugu zangu haya ni maisha tu ya duniani ni muhimu kila mtu akafikiri hatma yake baada ya kufa. Dalili za mambo yanayoonekana na yasiyoonekana yanaonesha kuwa kuna nguvu ya kweli inayomiliki mambo yote haya hivyo cha msingi haijalishi wewe ni mbudha, mkristo, mwislam ni lazima ukae na kutafuta ukweli juu ya MUNGU huyu wa kweli. Je ni ala ama ni YULE aliyejitokeza duniani katika umbo la mwanadamu? akafa akafuuka na kupaa....Maana si mara ya kwanza MUNGU kujitokeza katika umbo la mwanadamu kwani aliwahi kumtokea Abraham, Yakob na Yoshua

nyie makafir sijui lini mtakua na akili. Hivi mungu na utukufu wake aje ajifananishe kiumbe dhaifu kama binadam???.
 
Mtoa mada analake tu.Haishangazi kuona mnalalamikia radio imani.Tunajua hampendi kusikia wala kuona waislam wanaendelea katika nyanja zozote. Hilo litaendelea kuwauma na mpaka mnaingia kaburini nuru ya Uislam hamtaweza kuizima. Na kwataarifa yenu radio Imani iko 80% ya nchi yote,hivyo kama unadhani ipo Dar na Moro basi mmenoa.

Kazi iliyobaki ni kumalizia 20% iliyobaki.Wenye roho mbaya na Uislam mpo? TV Imani nayo January hii itakuwa hewani. Kwa taarifa yenu tuko kamili,na kama mlidhan hatuwezi hapo mmechemsha.

Naishangaa sana serikali kwa kuruhusu chuki na uchochezi wa kidini unaofanywa radio hii ya Kiislamu. Rais wa nchi yupo kimya. Idara ya habari imenyamaza. Vyombo vya dola vimeufyata. Hii ina maana gani? Ukimya wa Rais unaweza kuelezeka.

Yeye ni Muislamu, na bila shaka ni msikilizaji na mshabiki wa radio hiyo. Lakini idara ya habari na vyombo vya dola kwa nini havitekelezi wajibu wao ipasavyo?

Nimesikia wananchi wengi, wakiwemo Waislamu, wakiilalamikia Radio Imani. Nimuulize Kikwete na watu watu wake: Mnataka kulea uchochezi huu hadi lini? Mnadhani yakitokea machafuko ya kidini (ambayo ni mabaya kuliko yote duniani) ninyi na familia zenu mtasalimika. Hebu chukueni hatua mara moja, kabla situation haijaenda out of control.
 
Hizi ni Aya za Mwenyezi mungu tunazokusomea kwa haki. Na Mwenyezi mungu hataki kuwadhulumu walimwengu. Qur'an 3:108

Enyi mlioamini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwishafichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayoficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini. Qur'an 3:118

Hivyo basi nyinyi ndio mnaowapenda watu hao,wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini vitabu vyote. Na wanapo kutana nanyi husema: tumeamini. Na wanapokuwa peke yao wanakuumieni vidole kwa chuki. Sema: kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi mungu anayajua yaliomo vifuani. Qur'an 3:119

Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia,hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo. Qur'an 3:120


These are Satanic Verses!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom