Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Ukisoma privacy policy ya twitter wapo very clear
"
When you use Twitter, even if you’re just looking at Tweets, we receive some personal information from you like the type of device you’re using and your IP address. You can choose to share additional information with us like your email address, phone number, address book contacts, and a public profile. We use this information for things like keeping your account secure and showing you more relevant Tweets, people to follow, events, and ads.

"

"
Law, Harm, and the Public Interest
Notwithstanding anything to the contrary in this Privacy Policy or controls we may otherwise offer to you, we may preserve, use, share, or disclose your personal data or other safety data if we believe that it is reasonably necessary to comply with a law, regulation, legal process, or governmental request; to protect the safety of any person; to protect the safety or integrity of our platform, including to help prevent spam, abuse, or malicious actors on our services, or to explain why we have removed content or accounts from our services8; to address fraud, security, or technical issues; or to protect our rights or property or the rights or property of those who use our services. However, nothing in this Privacy Policy is intended to limit any legal defenses or objections that you may have to a third party’s, including a government’s, request to disclose your personal data.

"
So twitter wanaweza kutuambia Kigogo2014 ni nani na yuko wapi, ishu ni je, mabeberu wa twitter wapo tayari kutoa ushirikiano tunaouhitaji?
 
Huyo hawajamshindwa kabisa...Tatizo Sheria za hiyo NCHI ndio pagumu kidogo..Ila atue Airport tu Hata Sahv afu ndio urudi kupost wamemshindwa!!! Huyo mwingine Nahisi n Kundi la watu na sio mtu mmoja anaendesha hiyo AC afu tweeter ni ngumu kudukua taarifa za mtu Kama hivi viwhatsaap Sijui FB

Typed Using KIDOLE
Bongo wanashindwa kuwakamata hata wale jamaa wa "ile pesa tuma kwa namba hii" ndio wataweza kudukua whatsapp.

Bongo wanachoweza ni kusikiliza simu za watu na text za kawaida.. huko whatsapp unakamatwa ukijichanganya ukaongea shudu kwenye groups , lakini ile end to end encryption ya whatsapp hakuna mbongo wa kuiclark..
Kigogo watamdaka siku akiingia kwenye 18 zao au akisalitiwa au akiwa boya mwenyewe lakini swala la bongo kuhack twiteer ni tusahau.
 
Ukisoma privacy policy ya twitter wapo very clear
"
When you use Twitter, even if you’re just looking at Tweets, we receive some personal information from you like the type of device you’re using and your IP address. You can choose to share additional information with us like your email address, phone number, address book contacts, and a public profile. We use this information for things like keeping your account secure and showing you more relevant Tweets, people to follow, events, and ads.

"

"
Law, Harm, and the Public Interest
Notwithstanding anything to the contrary in this Privacy Policy or controls we may otherwise offer to you, we may preserve, use, share, or disclose your personal data or other safety data if we believe that it is reasonably necessary to comply with a law, regulation, legal process, or governmental request; to protect the safety of any person; to protect the safety or integrity of our platform, including to help prevent spam, abuse, or malicious actors on our services, or to explain why we have removed content or accounts from our services8; to address fraud, security, or technical issues; or to protect our rights or property or the rights or property of those who use our services. However, nothing in this Privacy Policy is intended to limit any legal defenses or objections that you may have to a third party’s, including a government’s, request to disclose your personal data.

"
So twitter wanaweza kutuambia Kigogo2014 ni nani na yuko wapi, ishu ni je, mabeberu wa twitter wapo tayari kutoa ushirikiano tunaouhitaji?
Sidhani kama watakubali.. watakua wanaharibu reputation yao.
 
Wewe uliona alicheka tu? Hivi kweli unaidhihaki picha ya Rais halafu uachwe tu halafu usimfananishe idris na huyo gogo,
idris amefanya hayo akiwa anajulikana wapi alipo na anapoishi, huyo gogo ni coward ambaye anaivimbia serikali kwa maneno mbofumbofu na kuleta uchonganishi kwenye jamii akiwa nyuma ya keyboard. ..kama yeye dume la mbegu ajitokeze hadharani, angalau hata namsifu idris ni mwanaume hajafanya kwa kujifichaficha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sio Marekani . Ndio maana tunasemea nyuma ya Keyboard. Hata wewe upo nyuma ya keyboard na Mimi nipo nyuma ya keyboard. Naye kigogo yupo nyuma ya keyboard. Awamu hii tunasemea nyuma ya keyboard tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?

Dawa ya MTU ama KITU kinachokuudhi ni kutokukitilia maanani, ni kuachana nacho....

Na sijui inakuwaje nyie watu mnaona mabaya ya wengine tu na kutaka wahukumiwe huku nyie mkiwa wachafu na wenye dhambi kuliko pengine hata hao mnaowachukia....!

Jirekebisheni bwana, acheni hizo. Acheni watu waseme, waishi maisha yao wayatakayo....
 
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?
Hakamatiki huyu
 
Hivi kawanini wasianze kumkamata Musiba

Back
Top Bottom