Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kaleta uchonganishi, kwann hashikwi sasa wakati wengine kucheka tu wanashikwa?
 
Kama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.

Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Na huu ni udhaifu, uchunguzi wetu uko chini bado
 
Kama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.

Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Hahahahaaaa umenena vyema sanaa
 
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu? Huu ni udhaifu?
Kigogo2014 ni mzalendo kuliko hao wote unaosema
 
Wewe uliona alicheka tu? Hivi kweli unaidhihaki picha ya Rais halafu uachwe tu halafu usimfananishe idris na huyo gogo,
idris amefanya hayo akiwa anajulikana wapi alipo na anapoishi, huyo gogo ni coward ambaye anaivimbia serikali kwa maneno mbofumbofu na kuleta uchonganishi kwenye jamii akiwa nyuma ya keyboard. ..kama yeye dume la mbegu ajitokeze hadharani, angalau hata namsifu idris ni mwanaume hajafanya kwa kujifichaficha
Kama kaleta uchonganishi, kwann hashikwi sasa wakati wengine kucheka tu wanashikwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali iache mambo ya maana imtafute Kigogo? Serikali inatekeleza mambo muhimu kwa raia wake. Wenye Majungu na Propaganda wapo tu hawataisha. Wahenga walisema ''za mwizi 40''.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom