Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Huyo mpuuzi tu hana lolote, ametumia corona kuleta uchonganishi kati ya serikali na wanannchi /mataifa ya nje, ameshindwa, sasa amehamia kwenye kudai kua anatafutwa , mara sijui fulani ns fulani wamekaa vikao vya kumkamata, ndicho anachoweza huyo fara kufanya hasaidii chochote na wala hawasaidii watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona una fura?? Kigogo anataja uozo wa serikali ya ccm. Ni mtu mzalendo kwa taifa lake.
 
20200523_120216.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu? Huu ni udhaifu?
Akishikwa kuna faida yoyote unapata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Mada Umeandika Vema Ila Umeniudhi Ulovyomalizia Thread Yako. Siku Nyingine Jirekebishe!!!
Usiidharau Serikali Kiasi Hicho!
 
Huyo jamaa kumuelewa na kujua account yake inavyoendeshwa kuelewa ni ngumu, ile account ipo on 24 hours unaweza amka usiku wa manane jamaa anatweet tu sasa unajiuliza ni mtu mmoja au ni wengi

unaweza jiuliza mda anaolala jamaa ni saa ngapi na usipate jibu maana account 24 inapost tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo ya haraka ile itakua ni kurasa ya Serikali pia,inafanya chochote kwa kusema ili kupata michango mingi ya watu na kujua wanatakiwa wafanye nini kwa wananchi,ni account inatumika kufanya evaluation hivi na nina fikiri siyo kwa nia mbaya,bali kwa nia njema ya kuchukua mawazo ya watu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom