Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Hata yule RPC ambaye alijitahidi sana ku stabilise ya kule naye alirudishwa makao makuu. Anyway, tukubaliane kutokubalianaHakuna kitu kama hicho mkuu,kwamba kisena hakumpiga OCD na RPC alikua miss-quoted?
Unajua baada ya hilo saga huyo OCD alifanywaje?
Yuko rumande kwa sasa, huna habari?anatokea kanda pendwa, ndo maana!
HahahaaaKila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??
Hata wakina Pablo Escobar walikua watoaji kwa watu balaa.Nimtu moja poa sana aisee anapenda sana kusaidia watu na mwepesi wakutoa hata kama hufahamiani naye atakusikiliza tu.Kwakweli mimi kama mimi siwezi kumsema vibaya.nijirani yangu .
Ilete hiyo hadithi nyingineNi msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingine
Baada ya kuiibia nchi hii na ki-club chao wa wazee wa mjini daslam wako wanakula mafao tu.
Ila maisha haya hayana formula,wazee wa Saigon hawaamini na utoto wao mjini wamepigwa chenga ya mwili mtu akatoka chato akabeba nchi.hahah
Ni kweli na wanaonaga nje ya circle yao kila mtu ni mkolomije tu.Wale jamaa walikuwa wabinafsi sana. Ipo siku Watagundua uovu walioufanya
Ni kweli na wanaonaga nje ya circle yao kila mtu ni mkolomije tu.
Hakuna mishe hapa mjini haijapitia saigon,RIP Ditopile na wazee wenzake wa Saigon.
Hizo asilimia alipewa na msogaKisena ni Mkurugenzi wa Simon Group Tanzania inayomiliki 51% ya mwendokasi.
Akili sana ndio akili gani hizo mkuu?kasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
Atakuwa namba moja kama singa singa kule sio sehemu nzuri mkuu.Hata wakina Pablo Escobar walikua watoaji kwa watu balaa.
Kisena alitumia connections zake vzr sana na imemlipa Big time,mengine haya ni ajali kazini tu.
Hata simba trust ile ya Deal lkn kina Singasinga,Msoga alitajwa pia.
Acha kabisaa wanasema ukimcheki Ruge na Singasinga walivyonyooka+ zile ndevu+kanzu zao unaweza kudhani ni wale manabii wa enzi za yesu.
Kweli mkuu.Acha kabisaa wanasema ukimcheki Ruge na Singasinga walivyonyooka+ zile ndevu+kanzu zao unaweza kudhani ni wale manabii wa enzi za yesu.
Ninachokiona UDA inarudi serikalini kwa 100% kama ambavyo yule Zakaria wa Mwz aliwekwa ndani na mkewe mpk akarudisha yale Maghorofa+mali nyingine za chama cha ushirika Mwz.
Hii ni good Move.
Acha asomeshwe no. tu mkuu,wapanda mwendokasi naonaga wanalalamika humu balaa.Kweli mkuu.
Nasikia alikuwa kama anahujumu UDART na ukiangalia UDA zimeadimika sana barabarani nowdays.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi akusoma alama za nyakati mkuu.Acha asomeshwe no. tu mkuu,wapanda mwendokasi naonaga wanalalamika humu balaa.
Kwa siku jamaa wanaingiza zaidi ya Tsh. 70mil lkn huduma ni zero.
Aisee watakua pamoja,watu walikua wanalalamika watu wa kanda ya Ziwa wanadekezwa awamu hii,nadhani sasa(Kisena+Wambura+Zakaria+Malinzi wa TFF na wengineo) watakua mfano.Nahisi akusoma alama za nyakati mkuu.
Kwaiyo watakuwa pamoja leo segerea na Wambura maana wamepelekwa kisutu kwaiyo pamoja
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Ujinga ulionao unadhani kuwa na shule ni kujua kuongea tu lugha ya mama,na umeshahu lugha ya mama ni sawa na lugha nyingine tu,kujua lugha hakumaniishi wewe ni msomo poyoyo weweHana shule huyo ,ni kama msukuma tu.
Nawahurumia wakazi wa kimara mabus machache hamna hewa. Huyo afungwe kwa kutesa Watanzania bila kosaAcha asomeshwe no. tu mkuu,wapanda mwendokasi naonaga wanalalamika humu balaa.
Kwa siku jamaa wanaingiza zaidi ya Tsh. 70mil lkn huduma ni zero.