Hivi Robert Kisena ni nani?

Nimtu moja poa sana aisee anapenda sana kusaidia watu na mwepesi wakutoa hata kama hufahamiani naye atakusikiliza tu.Kwakweli mimi kama mimi siwezi kumsema vibaya.nijirani yangu .
Hata wakina Pablo Escobar walikua watoaji kwa watu balaa.

Kisena alitumia connections zake vzr sana na imemlipa Big time,mengine haya ni ajali kazini tu.
 
Ni kweli na wanaonaga nje ya circle yao kila mtu ni mkolomije tu.

Hakuna mishe hapa mjini haijapitia saigon,RIP Ditopile na wazee wenzake wa Saigon.

Wakishakunywa kahawa wanaanza kuropoka wanaonewa....mara awamu ya kwanza....mara walinyimwa kusoma. Halafu deal kama la UDA mtu mmoja anaweka hela yote kwenye personal account yake. Hauhitaji kupata degree kujua matatizo yao
 
kasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
Akili sana ndio akili gani hizo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa namba moja kama singa singa kule sio sehemu nzuri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisaa wanasema ukimcheki Ruge na Singasinga walivyonyooka+ zile ndevu+kanzu zao unaweza kudhani ni wale manabii wa enzi za yesu.

Ninachokiona UDA inarudi serikalini kwa 100% kama ambavyo yule Zakaria wa Mwz aliwekwa ndani na mkewe mpk akarudisha yale Maghorofa+mali nyingine za chama cha ushirika Mwz.

Hii ni good Move.
 
Acha kabisaa wanasema ukimcheki Ruge na Singasinga walivyonyooka+ zile ndevu+kanzu zao unaweza kudhani ni wale manabii wa enzi za yesu.

Ninachokiona UDA inarudi serikalini kwa 100% kama ambavyo yule Zakaria wa Mwz aliwekwa ndani na mkewe mpk akarudisha yale Maghorofa+mali nyingine za chama cha ushirika Mwz.

Hii ni good Move.
Kweli mkuu.

Nasikia alikuwa kama anahujumu UDART na ukiangalia UDA zimeadimika sana barabarani nowdays.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha asomeshwe no. tu mkuu,wapanda mwendokasi naonaga wanalalamika humu balaa.

Kwa siku jamaa wanaingiza zaidi ya Tsh. 70mil lkn huduma ni zero.
Nahisi akusoma alama za nyakati mkuu.

Kwaiyo watakuwa pamoja leo segerea na Wambura maana wamepelekwa kisutu kwaiyo pamoja

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Nahisi akusoma alama za nyakati mkuu.

Kwaiyo watakuwa pamoja leo segerea na Wambura maana wamepelekwa kisutu kwaiyo pamoja

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Aisee watakua pamoja,watu walikua wanalalamika watu wa kanda ya Ziwa wanadekezwa awamu hii,nadhani sasa(Kisena+Wambura+Zakaria+Malinzi wa TFF na wengineo) watakua mfano.

Ila pesa zinapofusha macho sana,mimi ningekua kisena na wenzake wakina Idd Simba ningekua nimeshalala mbele kitambo sana maana jamaa kama ni kuiba wameiba mabilion lkn hawaridhiki.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom