Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

Yeye ndiye aliyemteua,isitoshe yeye (Rais) ndiyo mmiliki wa hiyo hazina kwa sasa, hivyo yupo sahihi kabisa kumuagiza.
Level ya ujinga kwa vijana wa tz ni kubwa sana. Kuna haja ya wizara ya elimu ya juu kuweka somo la uraia vyuoni.
 
Rais mpaka kumuagiza Waziri kwenye ma camera inaonesha rais ama mzembe, ama anapenda shobo.
 
Kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali kwa awamu ya 5 itakuwa ni mbaya kuliko ESCROW na EPA za awamu ya 3 na ya 4.

Pesa ya umma inapigwa vibaya sana kupitia miradi ya UJENZI ambayo makampuni yanayo jenga yana mtandao unaohusisha viongozi wakubwa.

Najuwa Dr Philip Mpango ni msafi na ni professional mwenye integrity ya juu sana. Namshauri asiogope KUTUMBULIWA kwa ajili ya kuogopa vitisho vya Jiwe kwa kuwa miaka 5 ijayo Jiwe akiwa nje, basi yanayowakuta akina Kitilya na akina Rugemalira yatamkuta na Jiwe hata kuwapo kumtetea.

Nina log off
Kodi zetu zinatakasiwa kwenye miradi ya ujenzi isiyo tija kiuchumi Bali sifa kwa gharama ya Kodi zetu.
 
Pesa za kulipa watu fidia hazipo
Za kuongeza mishahara hazipo
Za kuwalipa wastaafu hazipo
Ila ya kuwashughulikia wapinzani zipo
Za kujenga majengo yasiyo tija kiuchumi lengo tu sifa ya kukumbukwa kupitia majengo zipo tele.
Je ni sahihi kuwa na watumiayo Kodi zetu kwa maslai yao kutakatishia Kodi zetu?
Huu ni mwaka wa mabadiliko tuchague watu watakaoweka mbele vipaumbele vyetu na sio vyao.
 
Fikiria kuwa wafanyakazi wa Umma hawajapewa nyongeza ya mishahara yao tokea Rais huyu aingie madarakani miaka 5 iliyopita,tena ni kwa mujibu wa sheria

Lakini matumizi ya ovyo kama vile kuwanunua wapinzani yapo!

Aisee hili nchi kweli tumeingia mkenge, kwa kuchagua viongozi washamba na malimbukeni!
 
Km watu wameagiza kuteka na kupiga watz risasi imekua sahihi na mmekaa kimya sembuse huto tubilioni 2?

Ngoja tuendelee kubatizwa kwa moto.
 
Fikiria kuwa wafanyakazi wa Umma hawajapewa nyongeza ya mishahara yao tokea Rais huyu aingie madarajani miaka 5 iliyopita.......

Lakini matimizi ya ovyo kama vile kuwanunua wapinzani zipo!

Aisee hili nchi kweli tumeingia mkenge, kwa kuchagua viongozi washamba na malimbukeni!
Kiwango cha juu Sana cha ubinafsi yaani extremely inner selfness kujijali nafsi kuliko Jamii,awajali kuhusu jamii si kipaumbele chao.
Kama kina mobutu, mugabe,bokasa then kina Trump, Putin,Botha wakiongea ukweli kuhusu hawa wakoloni weusi povu Kama lote
Wakipata madaraka wanatamani Kodi zetu ziwe Mali zao
 
Attachments

  • Screenshot_2019-09-10-14-36-12.png
    Screenshot_2019-09-10-14-36-12.png
    109.7 KB · Views: 1
Mystery,

Sjawahi sikia mtu akibwabwaja mzee wa watu akipiga kelele za kuhimiza ukusanyaj mapato,wala hata kumsaidia bx kuhimiza hlo

After ol kama yy ndo anatafuta kuna ubaya yy huyo huyo kutumia alchotafuta?

Ukizngatia anatumia kwny jambo la taifa, tena linaloonekana kwa macho yote
 
Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango, atoe pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole wake asipozileta pesa hizo atakiona!

Swali langu ninaloliuliza, hivi njia hiyo ya kumuagiza waziri wa Fedha tena hadharani mbele ya macamera ya waandishi wa habari na kuendelea kumtisha kuwa ole wake asipotoa pesa hizo hazina ni sahihi?

Ninavyojua mimi ni kuwa pesa zote za hazina ni mali ya Umma na siyo mali binafsi ya Rais na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuagiza zitoke bali Bnge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Ninavyojua Mimi ni kuwa Bunge halijaidhinisha pesa hizo zitoke kwa matumizi hayo ya ujenzi ya Ikulu.

Hivi huyu Rais Magufuli anapata wapi kiburi cha kumwagiza waziri wa Fedha atoe hizo pesa ambazo hazijaizinishwa na Bunge la Jamhuri, ambalo linaendelea na vikao vyake hapo Dodoma?

Je, kwa kusikia wenyewe Rais Magufuli akimwagiza waziri wa Fedha "azichote" pesa hizo hazina, je ni pesa ngapi zinazotoka kwa aina hiyo ya kumwagiza waziri huyo wa Fedha?

Je, kwa "staili" hiyo ya Rais Magufuli ya kumwagiza waziri wa Fedha azitoe pesa hizo hazina tena akimtissha kuwa ole wake asipozitoa, je wananchi tutakuwa na "doubt" yoyote na ripoti ya CAG aliyepita, Profesa Assad, aliyeibua upotevu wa pesa za Umma, kwa kiasi cha shilingi trillion 1.5?
Wewe unaonaje?
 
Mtoa mada unaongea utafikiria huo mkutano umeangalia mwenyewe tu wakati wengi tu tumeangalia maana nakuona unavyopotosha kuhusu kumlazimisha Waziri wa fedha wakati Mzee baba pale alikuwa anatania tu nasema hivyo sababu Waziri hata siku moja hawezi mpinga bosi wake.

Na kuhusu kutoa Hela Haya mambo bwana tumeshachelewa sana haya sijui ya kusubiri bunge tutafika lini sisi nchi maskini, yani tunafata sheria za nchi ambazo hata wakikaa baada ya miezi baadae hakiaribiki kitu sisi tufanye tu maana pesa sizinaonekana zinafanya kazi ipi.

Afrika tumechelewa haya mambo ya kusubiri bunge likae tusubiri tukishaendelea huko sio sasa.

Hivi zile ajira 1000 za madaktari alizotoa papo kwa hapo Magufuli kwenye mkutano na madaktari angesubiri pia bunge likae??
Kwani ajira hutolewa na bunge ?
 
Bunge lipi unalozungumzia!!!. Hili hili la ndugai na tulia?. Lipewe mamlaka ya kupitisha matumizi?. Si wangeshapitisha tangu enzi za awamu zilizopita?. Walikuwa wanangoja nini wakati uamuzi wa kuaamua kwenda Dodoma ulipitishwa tangu 1971?!. Jiwe yuko right 100% ikulu inayojengwa ni nyumba ya watanzania wote. Mbaya kama angepeleka pesa hizo New Jersey kama wakina chenge. JPM kanyaga twende babaaa. Hata hilo bunge mimi naliona mzigo kwa walipa kodi tuu. Siyo bunge hilo hilo lililomshinikiza Rais kumtumbua Prof. Kwa kukataa kufanya naye kazi?. Nashauri tulifute hili bunge lisilotaka upinzani Jiwe awe anaongoza nchi kwa maono tuu mpaka 2025 tutakuwa tumemaliza SGR na stiglers. Saa ingine utememi wenye Tija mimi naufagilia sana jamani.
Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango, atoe pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole wake asipozileta pesa hizo atakiona!

Swali langu ninaloliuliza, hivi njia hiyo ya kumuagiza waziri wa Fedha tena hadharani mbele ya macamera ya waandishi wa habari na kuendelea kumtisha kuwa ole wake asipotoa pesa hizo hazina ni sahihi??

Ninavyojua mimi ni kuwa pesa zote za hazina ni mali ya Umma na siyo mali binafsi ya Rais na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuagiza zitoke bali Bnge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Ninavyojua Mimi ni kuwa Bunge halijaidhinisha pesa hizo zitoke kwa matumizi hayo ya ujenzi ya Ikulu.

Hivi huyu Rais Magufuli anapata wapi kiburi cha kumwagiza waziri wa Fedha atoe hizo pesa ambazo hazijaizinishwa na Bunge la Jamhuri, ambalo linaendelea na vikao vyake hapo Dodoma?

Je kwa kusikia wenyewe Rais Magufuli akimwagiza waziri wa Fedha "azichote" pesa hizo hazina, je ni pesa ngapi zinazotoka kwa aina hiyo ya kumwagiza waziri huyo wa Fedha??

Je kwa "staili" hiyo ya Rais Magufuli ya kumwagiza waziri wa Fedha azitoe pesa hizo hazina tena akimtissha kuwa ole wake asipozitoa, je wananchi tutakuwa na "doubt" yoyote na ripoti ya CAG aliyepita, Profesa Assad, aliyeibua upotevu wa pesa za Umma, kwa kiasi cha shilingi trillion 1.5?
 
Mystery,

Sjawahi sikia mtu akibwabwaja mzee wa watu akipiga kelele za kuhimiza ukusanyaj mapato,wala hata kumsaidia bx kuhimiza hlo

After ol kama yy ndo anatafuta kuna ubaya yy huyo huyo kutumia alchotafuta?

Ukizngatia anatumia kwny jambo la taifa, tena linaloonekana kwa macho yote
Kwani hiyo kodi inalipwa na wanafamilia wake pekee??

Kodi tunalipa wananchi wote na ndiyo sababu pesa hizo za Umma zimepangiwa matumizi yake kuwa ni lazima zipitishwe kupitia Bunge pekee.

Sasa huyu Jiwe amezigeuza pesa hizo kuwa mali yake binafsi!
 
Mystery,

Hii coment inaaksi umri wako kuwa ni mchanga. Budget ya Ujenzi ilikwisha kasmiwa kinachoendelea sasa ni kutumia tu, na kwakuwa Rais ndiye AFISA MASUULI MKUUU alikuwa sahihi kutia saini ya Mdomo ili Hazina watoe pessa. Kikubwa aliyeeelezwa baadae atapeleka nyaraka zinasainiwa na Mhe. Rais mambo yanakuwa sawa kwa mujibu wa Sheria. Hivyo yuko sahihi,

Hiyo ilishasainiwa zamani! Ndo maana rais akatoa 24hrs! Zingine nisiasa tu, Rais ndieNembo ya nchi hii! Akisema leo ufe unakufa! Tatizo nikutokujua nguvu ya rais ndo maana tunashinda kutwa nzima kumtukana mitandaoni.
 
Back
Top Bottom