Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

Huko twitter Kigogo anadai jamaa ameshindwa kulipa mishahara ya Majaji kwa miezi miwili na posho za Polisi na Wanajeshi kwa mwezi May.
 
Kwa faida ya nani?Who is superior between The President and Citizens? For whom do we write the constitutions. Is The constitution a property of the public or leaders?
Yes, "we have to review the Constitution" but still the one who can decide on that is the president.

Rais wa awamu ya 4 aliamua kuanzisha huu mchakato baada ya kelele za kuitaka katiba mpya kutoka kwa wanasiasa (vyama pinzani), wanaharakati, asasi za kirai na baadhi ya viongozi wa dini.

Japo baadhi ya watu (Mimi nikiwemo) tuliona raia wengi walivutwa tu na upepo uliotokana na kupatikana kwa katiba mpya huko Kenya hivyo nao wakataka na Tz ipate katiba mpya na kweli mchakato ulifanyika mpaka bunge maalumu liliundwa, likaendesha vikao (japo wapinzani na baadhi ya wanaharakati walisusia) ila hatimaye bunge lilipitisha ile katiba kilichobaki ni kupigiwa kura ya maoni tu.

Awamu ya 5 hilo kwa sasa sio kipaumbele ila kama 'Rais ataamua', nasisitiza tena 'kama Rais ataamua' huenda kwenye muhula wake wa pili tukapiga kura ya maoni kuidhinisha ile katiba iliyopitishwa na lile bunge la katiba.
 
Rais ndio msemaji wa mwisho, mwenye kauli ya mwisho, mwenye uamuzi wa mwisho. Kwa sasa kauli yake ni equivalent to sheria.

He is a president. He can do whatever he wants.
Damn I wanna be a president one day.
 
Kwa faida ya nani?Who is superior between The President and Citizens? For whom do we write the constitutions. Is The constitution a property of the public or leaders?
Huku Tanzania mamlaka kubwa kuliko zote ni Rais.
 
Rais ndio msemaji wa mwisho, mwenye kauli ya mwisho, mwenye uamuzi wa mwisho. Kwa sasa kauli yake ni equivalent to sheria.

He is a president. He can do whatever he wants.
Damn I wanna be a president one day.
Rais anapofanya hivyo, ana-abuse power tuliyompa........

Kwa kuwa kabla hatujamkabidhi madaraka anaapa kuilinda Katiba ya nchi..........

Na Katiba hiyo inaeleza "Power separation" ya mihimili mitatu ya nchi, ambapo kila mmoja unatakiwa uwe "independent" katika maamuzi yake katika kile kinachoitwa "checks and balance"
 
Hiyo ilishasainiwa zamani! Ndo maana rais akatoa 24hrs! Zingine nisiasa tu, Rais ndieNembo ya nchi hii! Akisema leo ufe unakufa! Tatizo nikutokujua nguvu ya rais ndo maana tunashinda kutwa nzima kumtukana mitandaoni.
Leo ufe na unakufa duh hapo umepitiliza hayo ni mauaji hatuna katiba hiyo
 
Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole wake asipozileta pesa hizo atakiona!

Swali langu ninaloliuliza, hivi njia hiyo ya kumuagiza waziri wa Fedha tena hadharani mbele ya macamera ya waandishi wa habari na kuendelea kumtisha kuwa ole wake asipotoa pesa hizo hazina ni sahihi kweli?

Ninavyojua mimi ni kuwa pesa zote za hazina ni mali ya Umma na siyo mali binafsi ya Rais na hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuagiza zitoke bali Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Ninavyojua Mimi ni kuwa Bunge halijaidhinisha pesa hizo zitoke kwa matumizi hayo ya ujenzi wa Ikulu

Hivi huyu Rais Magufuli anapata wapi kiburi cha kumwagiza waziri wa Fedha atoe hizo pesa ambazo hazijaizinishwa na Bunge la Jamhuri, ambalo linaendelea na vikao vyake hapo Dodoma?

Je, kwa kusikia wenyewe Rais Magufuli akimwagiza waziri wa Fedha "azichote" pesa hizo hazina, je ni pesa ngapi zinazotoka kwa aina hiyo ya kumwagiza waziri huyo wa Fedha?

Je, kwa "staili" hiyo ya Rais Magufuli ya kumwagiza waziri wa Fedha azitoe pesa hizo hazina tena akimtissha kuwa ole wake asipozitoa, je wananchi tutakuwa na "doubt" yoyote na ripoti ya CAG aliyepita, Profesa Assad, aliyeibua upotevu wa pesa za Umma, kwa kiasi cha shilingi trillion 1.5?
Mkuu hivi fedha yoyote ya serikali ni lazima iidhinishwe na Bunge?Nataka Kujifunza kitu.
 
Magufuli ni jipu, hizi dhambi sijui atazitubuje
 
Back
Top Bottom