Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Hmm shemeji nakusema🤭

Hebu nielekeze michongo na tenda mnaoataje bar wenzetu! Pia kwasisi ambao vilivyotajwa na kaka mkubwa hatutumii itakuwaje sasa🤦🏽‍♀️

mfano mm. Mara nying weekend siend bar mwenyewe. Natafuta kampan ya Washkaj.
Hata wakiwa Sinza nawafuata.

Mnakaa na kuna mastory tu yatapita , na kama una ishu labda unataka ABC zake na hujui unaanzia wap au umekwama sehem. Bas kwenye round table hii utaongea sasa.
Wana wa bia ni rahisi kukupambania kwa kutafuta solution kwa washkaz zao .

Kwahiyo wana wa wana wanakuwa wana wako kiaina. Ile recomendation kuwa namba yako kanipa flan. Na nina ishu ABC. Tunafanyaje. Ina nguvu sana .
 
Bro utakuwa umekula sana wahudumu. Dah!
niko live hapa kwenye ka liquor store changu kila siku jioni hiko kiti kipo kimoja kinanisubiri mimi,,uzuri pia waindonesia sio wanywaji kabisa so kampani labda huwa weekends kwenye ma club ila daily siwezi kwenda bar just la grocery au liquor store
 

Attachments

  • 20260513_215632.jpg
    20260513_215632.jpg
    463.9 KB · Views: 8
Pombe ni pombe.. testi ni ile ile.. waache kujiendekeza. Kama ni mziki waashe radio nyumbani..

taste ya bia za bar ni nzur zaid . 😂😂😂😂
Home labda muwe wawili tu na mpenz wako. Na yeye apombeke.

yaan unakunywa zako bia alaf watoto wameweka katuni.
hainogi kwakweli
 
niko live hapa kwenye ka liquor store changu kila siku jioni hiko kiti kipo kimoja kinanisubiri mimi,,uzuri pia waindonesia sio wanywaji kabisa so kampani labda huwa weekends kwenye ma club ila daily siwezi kwenda bar just la grocery au liquor store
Huko liquor store inaonekana kuna urahic wa kuopoa kuliko Bar
 
Pombe inanywewa popote iwe home au bar....
Tukiwa tunakunywa huwa tunahitaji kampani kidogo na huwa tunachangamka sana na sometime kuongea. Sasa upo home kuna namna unakua unajikaza usiongea sana. Kuna story utashindwa tu. Pia uwepo wa watoto si vyema kunywa mbele ya watoto. Waache wakue wajiamulie wenyewe kunywa au kutokunywa.....

Pia pombe za nyumbani unajikuta unakunywa nyingi na umezima kibarazani mbele ya watoto. Au umewaka unaanza kupigia simu watu au kutuma mameseji...

Pombe za nyumbani ni kero kwa kweli.
Kumbe lengo ni kutoighasi familia
 
Kunywa chumbani na wife..
ni sawa . Mara moja moja inatakiwa.
Dec unafukuz watoto na beki 3 waende salimia na walale huko huko.

Unabak na wife mnapombeka na anakugawia yoooote.
😊😊😊😊

Ila sasa watoto wako sebulen. Uko chumban . Ukishika shika sim unashangaa mawivu yake yanaamka😂😂😂😂.

Mnakaa mnaangaliana tu?. Hainogi.

Kama watoto wako. Bas weekend mtoe wife. Mkirud home mmependeza . Mnaingia chumban. Raha za dunia zinaendelea.
 
Back
Top Bottom