Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi

Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la walevi ndo mzuka unapanda ?
Zinapanda vizuri mno,mimi leo toka saa 12 jioni nakunywa hapa home,mpaka sasa
 
Tunaishi kulingana na mazingira.

Achana na home, Mbona hausemi siku zisizo na ibada tuwe tunaenda chechi kupigia vitu mule🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

Lakini nimalizie tuu kwa kusema POMBE HAINA NIDHAMU.
Ndio maana imetengewa sehemu zake maalumu na mazingira wezeshi kabisa ktk ukosefu wake wa nidhamu.
 
Kuna raha/ faida gani kutumia kitu kinachokufanya ukose nidhamu
 
Mimi pombe napendelea kunywea home au sehemu karibu na home kwa usalama wangu.
 
Kwa kujiteteaa... Eti Bar kuna michongo! Michongo gani hiyo!? Yani ukienda Bar tu kunywa tayari unakutana na michongo huko?

Labda kama ni appointment ya mchongo ndio unaweza kwenda bar mkafanya meeting na kuweka mipango.. then unagusa mbili tatu na kupotea.

Ila kuingia bar daily ati kisa unaenda kunywa na michongo sio kwelii. Kula pombe nyumbani kwa utulivu.

Na mpira ukiangalia nyumbani ndio una enjoy football. Unaona mpira kila tukio... Sio kelele za bar mara mtu kakatisha mbele hapo... Mara mwingine kalewa matusi... Concentration ya game inapotea kabisa.
 
Ukweli mtupu
 
raha ya pombe uone madem wanapitapita sasa unanywea pombe nyumbani unamuona wife tuu amevaa dera usoni kuna unga wa ugali mikono inamasizi nywele salamusalamu haileti vibe kiukweli
 
Back
Top Bottom