Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Hivi Pombe za kunywea nyumbani hazipandi

Mimi ili nijihsi nakunywa pombe lazima nipige mayowe,nijimwagie pombe kichwani,niwe na kitimoto pembeni na nimdandie dadapoa.
 
Japo naweza na inatokea mara chache ila Mm Bia na kuangalizia mipira home hainogi.

Kwanza ujue bar hufuati bia tu. Kuna kubadilishana mawazo. Kuna kuongeza kitu kipya ambacho hujui. Kuna tenda na kaz (michongo) .
Kuna mastory ya siasa na mipira.

bado kuna siku umeshiba hela na unataka ule kitimoto yako saaaf na bia zako. 😊😊😊😊😊
+ na sababu nyingne bro Mshana Jr alizotaja.😂😂😂😂
Hmm shemeji nakusema🤭

Hebu nielekeze michongo na tenda mnapataje bar wenzetu! Pia kwa sisi ambao vilivyotajwa na kaka mkubwa hatutumii itakuwaje sasa🤦🏽‍♀️
 
Labd animelea wa mamako! Wewe unaishi na watoto wa Tz nzima?
Mtoto wa mama angu ndio mm kama vipi njoo unilee.

Sema wewe umeweka conclusion ya watoto kuangalia katuni as if umeshawahi kulea watoto wa Dunia nzima.

Kuna madogo hawatulii hususani wazazi wakishinda nyumbani, muda wote baba hiki, baba Kile, yaani fujo kama zote.
 
Pombe inanywewa popote iwe home au bar....
Tukiwa tunakunywa huwa tunahitaji kampani kidogo na huwa tunachangamka sana na sometime kuongea. Sasa upo home kuna namna unakua unajikaza usiongea sana. Kuna story utashindwa tu. Pia uwepo wa watoto si vyema kunywa mbele ya watoto. Waache wakue wajiamulie wenyewe kunywa au kutokunywa.....

Pia pombe za nyumbani unajikuta unakunywa nyingi na umezima kibarazani mbele ya watoto. Au umewaka unaanza kupigia simu watu au kutuma mameseji...

Pombe za nyumbani ni kero kwa kweli.
 
Mtoto wa mama angu ndio mm kama vipo njoo unilee. Sema wewe umeweka conclusion ya watoto kuangalia katuni as if umeshawahi kulea watoto wa Dunia nzima. Kuna madogo hawatulii sehemu hususani wazazi wakishinda nyumbani, muda wote baba hiki, baba Kila fujo kama zote.
Wewe umekuja na jazba ya kuexpect majibu kama unasahihisha mtihani kila mtu hapa anaandika kwa experience yake sio kwaajili ya watoto wa mtu fulani!
 
Back
Top Bottom