Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,843
- 97,210
Oohh hapo nimekupata vizuri shem, vipi upande wa pili haya mambo pia yapo au ni kwa me tu?mfano mm. Mara nying weekend siend bar mwenyewe. Natafuta kampan ya Washkaj.
Hata wakiwa Sinza nawafuata.
Mnakaa na kuna mastory tu yatapita , na kama una ishu labda unataka ABC zake na hujui unaanzia wap au umekwama sehem. Bas kwenye round table hii utaongea sasa.
Wana wa bia ni rahisi kukupambania kwa kutafuta solution kwa washkaz zao .
Kwahiyo wana wa wana wanakuwa wana wako kiaina. Ile recomendation kuwa namba yako kanipa flan. Na nina ishu ABC. Tunafanyaje. Ina nguvu sana .