Hivi pesa inapatikana wapi?

Mimi biashara ya chenji sikukuambia wewe 😂😂 nlimwambia jamaa ambae alitaka wazo la kupata elf 5 tu mi nkamwambia uza chenji hautapata tu elf tano bali elf 10.

We sio wa biashara hizo bana we ni level za frem sinza, full vioo full ac ndani raba nne tshirt nane nje ndinga ya maana
 
Kama unasoma vitabu na havibadilishi chochote kwenye maisha yako achana navyo tu bro, cheki hata movie za kihindi
 
Kama unasoma vitabu na havibadilishi chochote kwenye maisha yako achana navyo tu bro, cheki hata movie za kihindi
Nasoma kama hobby yangu na kila mwaka nakuwa na list ya vitabu vya kusoma, lakini point yangu ni kwamba kusoma kitabu kinachohusu fedha hakiwezi kukupa wew umilionea au ubilionea labda tu kitakuongezea maarifa tu ambayo mengi kibongobongo hayana uhalisia sana!
 
Inategemea kwakweli mtu na mtu mi nimesoma vichache hivo hivo vichache vimenipa maarifa ambayo sikua nayo na nimeviapply baadhi ya sehemu naona matokeo...... Ngekua msomaji konki bila shaka ngekua na mengi kichwani
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Uuuh unaona sasa kweli nikae na meza niuze miatisa kwa buku 😂😂😂😂😂
Wakija watu kumi Nina buku ... Safi kabisa maisha nishayapatia na kodi nalipa
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Uuuh unaona sasa kweli nikae na meza niuze miatisa kwa buku 😂😂😂😂😂
Wakija watu kumi Nina buku ... Safi kabisa maisha nishayapatia na kodi nalipa
We una frem sinza hii biashara waachie wanaoiweza ambao kwao sh mia ni kitu
 
Bahati
 
Hivi wanaojibu hapa nataka kufahamu wao wanahizo pesa ama na wenyewe wanazitafuta maana watu wanaandika mara zimejificha kwenye shida za watu mara matatizo ila nafanyaje sasaa?
 
Usidate na mifumo ya hela soma hela, mifumo ina mengi mazee, ila somo ni moja, Fanya ukikosea tumia njia nyingine mpaka utakapofanikiwa kuelewa somo,

Focus on form will bring illusion, than reality but focus on subject will bring home reality, huwezi kubali ila mpaka ulimwengu unachukia ujinga, ni kweli, mifumo mingi ni ya kijinga haieleweki na wazanaki wamewekeza hisia
 
Samia atakuwa anajua. Maana kila mradi utasikia " Mama katoa Bil so n so...."

Lazima anajua pesa inapopatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…