Hivi pesa inapatikana wapi?

Hawaendi kuweka, wanaenda kuchukua.
Kuna siku nilienda bank na kamilion kumi kangu kuweka nikakaa folen kuna mwamba mmoja alikuwa watatu mbele alibeba begi ilipofika zamu yake alikaa kama nusu saa kuhudumiwa hadi najisemea sijui niondoke maana kamilion kumi kangu nilifanya kukashika mkononi dah! It was 2018 pande za masasi
 
Hongera mkuu. Kushika kamilioni kumi kako ni hatua nzuri.
 
Mkuu ninajiona kabisa kwa nilipofikia ninahitaji kupambania na simba. Tena mwenye njaa ili nipate pesa.
Kama kwako kuna simba niunganishe naye mkuu.
Hapana mkuu kwangu hakuna simba wala mimi sina hizo pesa za dizaini hiyo, lakini km una nia kweli connection utaipata.
 
Njoo pm n
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa

Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa

Nimesoma hadi chuo pia olaa

Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa

Oya pesa inapatina wapi mazee
Andaa m2 njoo pm nikupe michongo haramu so unataka pesa
 
Kama unataka pesa nyingi fanya biashara haramu. Ukiweza zaidi fanya ile ya kuuza binadamu usiuze binadamu sijui umenielewa.
 
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa

Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa

Nimesoma hadi chuo pia olaa

Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa

Oya pesa inapatina wapi mazee
Sio kila mtu lazima apate pesa wengne mtabaki kuwa washangiliaji wa sisi km hta kwenye mbao hukutoboa wewe ni maskini umbwa takataka
 
Sijampotosha mtu yoyote wewe amini kwenye kile unachoamini!!
Nenda na wewe ili uwe km yeye wengne wanafanya vibiashara vidogo wanaposubili Mali zao zikue km huku kwetu iringa mafinga mtu anakuwa na ekal 40 za miti ya paina anaposubili miti ikue anakuwa anauza tuu kirabu siku ikifika anauza kila eka milion kumi mara eka 40 tial anamilion 400 akili kumkichwa watu hawaonyeshi Mali zao ili kuwahadaa watu km nyinyi
 
Kwamba we ninan fungua code mzee
 

Attachments

Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…