wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,824
Ndiyo ujue ngwengwe sioUnavyojitetea sasa
Vijana pigeni pumbu kistaarabu tutawazika sana hii karne.
Ndiyo ujue ngwengwe sioUnavyojitetea sasa
Amekana kucheza mechiOkoa uhai mkuu,mleta uzi anajinyea huko
Acha kugegedana kienyeji virusi vya UKIMWI vipo ukizembea utakuwa client wetuNiambie chochote basi
Kwani brashi ya viatu inakaa kwenye mkoba wa kike?Sasa me vimenishtua ndomana nimekuja kuuliza huku
Ni dawa za Wakataa ndoa.Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
BalaaNdiyo ujue ngwengwe sio
Vijana pigeni pumbu kistaarabu tutawazika sana hii karne.
Kama umeshakula wahi hospitali upate PEP,Ndio silala mm hata kama nimelala nae kwan ndo nimepata mpaka nikapime
Hivyo ni vya vitamini hutumika kwa wenye HIV, kila siku humezwa kimoja.Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
Kwani hizo sio PEP mkuuMimi nilikaotea kamoja nikakapima mziho ukasoma - nikavaa kondom nikala ,ile nimemaliza kitu kinasoma + asee nilidata faster nikamcheki mshkaji ni dr kukapima kweli asee kamewaka,nikapimwa namimi negativ,jamaa akanambia kwa uhakika meza pep,ndio nazi.eza hapa,japo nilipewa nyeupe sio hizo
Mtu anatafuta brash kakuta sawa, maana yake hpo ni kwake na bidada wanaishi wote.... Sasa unadhan kuna masaa72 kweliRafiki baharia 1
Hivyo ni vidonge vya kufubaza virusi vya UKIMWI .
Je umelala na muhusika masaa sabini na mbili hayajapita ? Ikiwa ndivyo nitafute .
Je masaa sabini na mbili yamepita ila week bado ? Jipe imani sio kulala na mwathirika basi umeathirika .
Nitafurahi kama ukinijibu ila wasikutishe huo ugonjwa si lolote wala chochote.
Kwa nini uanike nje mambo binafsi (siri) kwa sababu ya uvivu uliokithiri? Google ipo kwa kila mtu, na uki"google" utapata majibu bila kujitangaza na kuanika mambo ya mwenzako.Acha kupekua mikoba ya dada zako
Ohooo
Halafu mavidonge yameshiba kwerikweri kupita kooni lazima uhisi kukwanguliwa