Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,105
- 4,583
Shida inakuja utajuaje alikua anakunywa au kuna vipindi alikua anaacha..?Hata kama ana ngoma,, kama anatumia vidonge, hawezi kukuambukiza,, bila hivyo tungeisha,, 🤷🏾♂️
Shida inakuja utajuaje alikua anakunywa au kuna vipindi alikua anaacha..?Hata kama ana ngoma,, kama anatumia vidonge, hawezi kukuambukiza,, bila hivyo tungeisha,, 🤷🏾♂️
ThibitishaARV ni kutu ingine, na PEP ni jambo ingine
Upumbavu tu
Gono ni hatari aiseee.
Ikasababisha nikaogopa mapenzi toka Oct hadi leo
Unapata mkuu kupiga deki demu mwenye HIV ni uhakika wala usiinamishe kichwa kwenye jenereta.Hivi wazee kama demu ana ngoma ukipiga deki uwezekano wa kupata na penyewe upo au
Duh sio poa, kama ndom tunavaa kumbe bado tunaweza kuukwaa kwenye dekiUnapata mkuu kupiga deki demu mwenye HIV ni uhakika wala usiinamishe kichwa kwenye jenereta.
Haswaaa kwa sasa siamini mtu ati hata upime siaminiumekomaa
ARV - AntiretroviralThibitisha
Deki ina madhara mengi fungus ya koo na kinywa. ni hatari sana.Duh sio poa, kama ndom tunavaa kumbe bado tunaweza kuukwaa kwenye deki
Ndomu ukivaa ni salama, siku hizi kuna UTI kaliDuh sio poa, kama ndom tunavaa kumbe bado tunaweza kuukwaa kwenye deki
Nimekupata bossNdomu ukivaa ni salama, siku hizi kuna UTI kali
Angalau mpenzi wako anatumia dawa...... Mpe hongera na mwambie ajitahidi kuzingatia matumizi sahihiHabar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
Kwa hiyo Ampiclox ina maandishi gani??? Dawa inatambuliwa kwa namna nyingi.. Colour..Shape..Marks..Size kama hizo huwezo sema ni panado.Madaktari wanasema, dawa hazitambuliwi kwa kuziona tu bali maandishi yake.
Na wewe Scola acha kutuabisha, awahi PeP ipi wakati hivyo vidonge vyenyewe ndio PeP? Ujuaji mwingine bhana🤣🙌Kama umeshakula wahi hospitali upate PEP,
Afadhali huyu alijibu, Wengine ni kundi la magoloka tu.Hhhha
Ni ushauri Daktali lakini siyo mimi. mimi naona tu mara kuna panadol enye umbo kama hilo ila zinarangi nyeupe zinafanana sana dawa fulani hutibu U.T.IKwa hiyo Ampiclox ina maandishi gani??? Dawa inatambuliwa kwa namna nyingi.. Colour..Shape..Marks..Size kama hizo huwezo sema ni panado.