Hivi ni vidonge GANI?

Hivi ni vidonge GANI?

Hizo ni dawa za kufubaza makali ya virus vya ukimwi a.k.a ARV.
 
Kwa hiyo Ampiclox ina maandishi gani??? Dawa inatambuliwa kwa namna nyingi.. Colour..Shape..Marks..Size kama hizo huwezo sema ni panado.
Kama hii dawa haiandikwi jina, wewe hilo jina umelipata wapi.
 
Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona

Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu


AsantenView attachment 2521628
Mkuu anza kuuzoea mmea hata kwa pafu kadhaa utakuwa poa tu. Bange si mbaya kama vile ambavyo wasioijua wanavyoipa majina mabaya.
 
Ondoa hofu kabisa Kama umevikuta kwenye viatu pasina shaka hivyo vitakuwa kwa ajili ya wadudu warukao na watambaao.Nawasilisha!,nakaribisha maswali,ushari,dukuduku,hasira,jazba,,,,au bac tyuu
 
Shida inakuja utajuaje alikua anakunywa au kuna vipindi alikua anaacha..?
Anatakiwa awe alikua mtumiaji mzuri wa dose, akitumia vizuri, viral load inashuka sana kiasi kwamba hawezi kuambukiza,,
Ndio maana wanasisitiza sana, mtu akipima akutwe na hiv aanze dose mara moja,, ni kwasababu hiyo,, kama wenye hiv watafuata dose, hakutakua na maambukizi mapya na ukimwi utaisha
 
Ukimwi zama hizi ni kitu Cha kawaida sana by the way ukome kuchungulia chungulia
 
Back
Top Bottom