Trueboy,hahaaaqqqTruvada
We all gona dieHakuna
Yah asante nikweli kabisaUmefanya nikakumbuke katoto fulani ka form 2 kalikua kana virusi vya ukimwi...
Hakua anajua ila alikua anasema mama yake anakunywa dawa kila siku na yeye pia huwa anampa hizo dawa...nilijisikia uchungu sana...wazazi tusiwatese watoto mkiukwaa mjitahidi msiambukize wtt muwahi huduma za afya watt wazaliwe safe...
Okoa uhai mkuu,mleta uzi anajinyea hukoRafiki baharia 1
Hivyo ni vidonge vya kufubaza virusi vya UKIMWI .
Je umelala na muhusika masaa sabini na mbili hayajapita ? Ikiwa ndivyo nitafute .
Je masaa sabini na mbili yamepita ila week bado ? Jipe imani sio kulala na mwathirika basi umeathirika .
Nitafurahi kama ukinijibu ila wasikutishe huo ugonjwa si lolote wala chochote.
Hata anavyo reply maskini..anatia huruma... Mungu amuepushie hili swala mbali.Kweli nimeamini dunia si mbaya ila walimwengu sasa
Hizi comment za humu zinamtosha mtoa mada kujiua kabisa!
Mungu atakusaidia hutakua nao mkuu..Yah asante nikweli kabisa
Kwakweli amuepusheHata anavyo reply maskini..anatia huruma... Mungu amuepushie hili swala mbali.
Truvada for h.i.vJamani naombeni majibu basi
Mamaa utamuua kwa pressure baharia🤣🤣Truvada for HIV or hepatitis
Sawa kila la kheriAsante mkuu me sijalala nae kweli kbas sijala nae ila nimeviona tuuh mkuu