Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,212
- 1,077,428
Ndiyo nini kupotea kimoja hivyo? Happy Valentine Day kwako na wakupendao woteSio January 2022 bali ni July 2021
Ndiyo nini kupotea kimoja hivyo? Happy Valentine Day kwako na wakupendao woteSio January 2022 bali ni July 2021
Nilikuwa busy kuandaa muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania.Ndiyo nini kupotea kimoja hivyo? Happy Valentine Day kwako na wakupendao wote
Na nchi hii masomo ya science ndo wanafeli Sana hzo juhudi za kuongezea history juu ya history kwanini wasiwekeze kwenye hata kuajiri walimu wa science,na kama ulivosema dunia ina badilika KWA Kasi ya 5g huku sisi tukihangaika na history ambayo itakuwa duplication tena KWA kurudia kwa kiswahili. Mama ndalichako licha ya kuwa prof ila ubunifu zero sema na rahisi anafikiria kuwa prof ni kuwa na akili na mtendajiDunia yote sasa hivi wanaangalia miaka 20, 50, 100 huko mbele itakuwaje. Wanatabiri kuwa Artificial Intelligence (AI) itakuwa ime-dominate maisha ya mwanadamu karibu katika kila nyanja; na kazi nyingi zitakuwa automated. Karibu kila mtu anachacharika kuimarisha mitaala ya Kompyuta, Hisabati na Sayansi ili asiachwe nyuma. Sisi ndiyo kwanza tunaanzisha mitaala mipya ambayo ni redundant kufundishana Historia ambayo tayari ipo na inafundishwa vizuri tu. Akina Mangungo, Mkwawa na Kinjeketile Ngwale, Mangi Sina, akina Mirambo na Nyerere si tunawasoma vizuri tu jamani?. Kama ina mapungufu mtaala wake ungefanyiwa marekebisho tu kwa kuongezewa topics mpya hapa na pale mambo yakasonga mbele. Ingekuwa somo kama Agriculture ndiyo linafanywa kuwa la lazima (tena kwa vitendo) angalau ningeelewa kidogo...
Hawa wateule wao ni ndio tu KWA Raisi hawana ubunifu Mimi sioni umuhimu wao Kama kila lazima waelekezwe na Raisi na hawana Cha kushauri
Hivi waziri alishindwa kujadiliana na Rais kuhusu hili?
Tunataka kujua habari za wapigania uhuru wengine wanaofichwa kwa uchoyo na ubinafsi wa Mwalimu ...............Humo itasomwa CCM nawakombozi wawili NYERERE na mwingine sijui nani.
Sifa zitajazwa humo
Labda miaka 100 ijayo huku Tanzania tutakuwa tumefika.Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha Trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari.
Watoto mashuleni wanafundishwa somo la TEHAMA kwa kutumia picha ya TV za kichogo halafu serikali inawekeza pesa kuleta mtaala wa somo ambalo tayari lipoNa nchi hii masomo ya science ndo wanafeli Sana hzo juhudi za kuongezea history juu ya history kwanini wasiwekeze kwenye hata kuajiri walimu wa science,na kama ulivosema dunia ina badilika KWA Kasi ya 5g huku sisi tukihangaika na history ambayo itakuwa duplication tena KWA kurudia kwa kiswahili. Mama ndalichako licha ya kuwa prof ila ubunifu zero sema na rahisi anafikiria kuwa prof ni kuwa na akili na mtendaji
Mambo ya ajabu tupuWatoto mashuleni wanafundishwa somo la TEHAMA kwa kutumia picha ya TV za kichogo halafu serikali inawekeza pesa kuleta mtaala wa somo ambalo tayari lipo
Tanzania bado ina safari ndefu sanaHawa wateule wao ni ndio tu KWA Raisi hawana ubunifu Mimi sioni umuhimu wao Kama kila lazima waelekezwe na Raisi na hawana Cha kushauri
Miaka sitini ya Uhuru badala ya kujikwamua kiuchumi na umaskini viongozi wanafikiria kufundisha somo la historia tangu chekechea Hadi chuo kikuu kwa kiswahili huo eti ni ubunifu wakati wizara ya elimu ina machangamoto makubwa ambayo hayajatatuliwaTanzania bado ina safari ndefu sana
Kwanini wasijenge masarasa yakutosha na walimu kuliko kuhangaika na historia ka shule iko ubungo Dar haikuwa na madawati sembuse kuhangaika na minor issue za SoMo la historia,mhhhh what a waste to our education lojhhhhh.Watoto mashuleni wanafundishwa somo la TEHAMA kwa kutumia picha ya TV za kichogo halafu serikali inawekeza pesa kuleta mtaala wa somo ambalo tayari lipo
Nia ya jiwe ni kusomwa yeyeKwanini wasijenge masarasa yakutosha na walimu kuliko kuhangaika na historia ka shule iko ubungo Dar haikuwa na madawati sembuse kuhangaika na minor issue za SoMo la historia,mhhhh what a waste to our education lojhhhhh.
Kwa kukusaidiaNajiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima?
Kimbukeni Rais kasema Historia ya Tanzania iandikwe upya na kufundishwa kwa kiswahili kwa ngazi hizo za elimu. Waziri wa elimu kaagizwa kusimamia hili haraka na lianze kufundishwa January 2022.
Niondoleeni utata ktk hili maana sidhani hata Kama huyu waziri na Rais wameelewana na sidhani Kama Waziri anafahamu Rais anataka nini na pia Rais sidhani Kama ana uhakika ikiwa waziri wa Elimu kamuelewa.
Kuna washenzi wana support huu upumbavuPhysics with Chemistry
History vs Historia ya Tanzania.
Huu ni upumbavu mtupu
Ukamaliza kidato cha nne mwaka 2009Serikali inataka sasa wazazi waanze kupelela watoto Kenya kusoma Kama zamani. Nikiwa form one tulianza kusoma physics with chemistry
Sasa IQ za wamarekani utafananisha na IQ za watanzania ?Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha Trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari.