Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,026
- 14,915
Mkuu wangu unajua viongozi wengi tunapenda kuwapa wadau heshima ya ukuu maana hamna asiye mkuu bongo...au sio mkuu wangu...
hata #holygrail naye ni mkuu jamani. Hapana.
hata #holygrail naye ni mkuu jamani. Hapana.
Du!acha niwe mpole mkuu
Usijali hata wewe ni mkuundugu yangu
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.