joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Magufuli deals fresh blow to President Uhuru - Business Today KenyaEti Magufuli alifanya nini? Hahaa! Hebu tupia hiyo link basi, ya habari hizo kama zilivoripotiwa kwenye media za Kenya. Na iwe media inayoheshimika tafadhali.
Wewe tuwekee mainstream ya Tanzania iliyoripoti habari za Uhuru Kenyatta ndani ya miezi mitatu iliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app