Mtu wa hivi kinachofuata ni hiki :fencing::boink:
Aisee kuna watu wanakupongeza umeleta jambazi? haki nitapigana na mtu mm! na urafiki kwishnei simhitaji ndio nimesikia hapa leo
na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.
teheeee kwa nini asiseme umetuletea rais tena mwenye PhD ya heshima toka Nairobi kwa Kalonzo
teheeee kwa nini asiseme umetuletea rais tena mwenye PhD ya heshima toka Nairobi kwa Kalonzo
na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.
Utani wa kijinga huo, mke wangu akishakaribia siwaambii kitu, sitaki midomo yenu michafu isiyopigwa mswaki!!!!!!!
Halafu unashangaa after sometime mtoto anakuwa Jambazi kweli halafu unaanza ku refer kwa mtu aliyetoa hiyo comment
Finest i loved ur avatar man....!! kama vile demu hataki, but that is normal 4 girls
stop that, sitaki nataka, jamaa kasha anza ku push pull within a distance
Siku hizi imekuwa ni kawaida kwa watu wanaoenda kuwapongeza akina mama waliojifungua kutoa SIFA ambazo mimi naona ni KASHFA. Kwa mfano kama ni mtoto wa kiume eti wanasema "umetuletea jambazi" na kama wa kike "umetuletea changudoa, house girl...nk" Hata kama ni utani huu umezidi, inaweza kutokea kweli mtoto akawa hivyo. Hii tabia mimi siipendi, mbona zamani ilikuwa safi maneno ya umetuletea "mchumba, mkwe, mama, bibi dada, nk" yalitawala na yalikuwa mazuri.
Ahahahahahaaaaaah Kwani amekaa kijambazi!!! Huyo ana ndoto za kuwa daktari (PHD)....lol..kweli kabisa ,ila hiyo avarta yako mmmh kila siku huwa naiangalia mara2 nadhani ndio mtoto vile unayemwongelea kwa nini wasiseme jambazi?(kiddding)
wakwetu hapo utakuwa umetafuta mada kesi.....watu wanaoropoka namna hiyo si wa kuunda nao urafiki....mara nyingi midomo ya kukiri mabaya kama hayo huwa inamjengea mtoto roho ya uhalisia wa jambo hilo.....dawa nikuwa:fencing: