Hivi ni kwa nini tunakuwa na maneno ya kashfa namna hii!!!!

Aisee kuna watu wanakupongeza umeleta jambazi? haki nitapigana na mtu mm! na urafiki kwishnei simhitaji ndio nimesikia hapa leo

na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.
 
na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.

nimeshangaa sana, yani mi nimezoea yale matani ya umetuletea mkwe, kumbe kuna jambazi pia? hii mpya
 
na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.
Haya ni kweli kabisa yanatokea Nyamayao........nimesikia zaidi ya mara moja.
 
.....Wote wanaosema maneno hayo kwa vichanga hawana hekima hata chembe, hata kama utani umepitiliza.
 
Utani wa kijinga huo, mke wangu akishakaribia siwaambii kitu, sitaki midomo yenu michafu isiyopigwa mswaki!!!!!!!
 
teheeee kwa nini asiseme umetuletea rais tena mwenye PhD ya heshima toka Nairobi kwa Kalonzo

Afadhari useme kwingineko kuliko hiyo ya Kalonzo maana atakuwa mlopokaji na Kibaraka kama Kalonzo mwenyewe!.
 
na mie pia hii kwangu mpya kabisa, cjui mtoa mada kayackia wapi haya jamani, kama kuna maji ya moto karibu nadhani yatakuhusu.

wakwetu hapo utakuwa umetafuta mada kesi.....watu wanaoropoka namna hiyo si wa kuunda nao urafiki....mara nyingi midomo ya kukiri mabaya kama hayo huwa inamjengea mtoto roho ya uhalisia wa jambo hilo.....dawa nikuwa:fencing:
 
Halafu unashangaa after sometime mtoto anakuwa Jambazi kweli halafu unaanza ku refer kwa mtu aliyetoa hiyo comment

Finest i loved ur avatar man....!! kama vile demu hataki, but that is normal 4 girls
stop that, sitaki nataka, jamaa kasha anza ku push pull within a distance
 
Finest i loved ur avatar man....!! kama vile demu hataki, but that is normal 4 girls
stop that, sitaki nataka, jamaa kasha anza ku push pull within a distance

HA HA HA sitaki huku at the same time anaanza kulainika
 
kweli kabisa ,ila hiyo avarta yako mmmh kila siku huwa naiangalia mara2 nadhani ndio mtoto vile unayemwongelea kwa nini wasiseme jambazi?(kiddding)
Siku hizi imekuwa ni kawaida kwa watu wanaoenda kuwapongeza akina mama waliojifungua kutoa SIFA ambazo mimi naona ni KASHFA. Kwa mfano kama ni mtoto wa kiume eti wanasema "umetuletea jambazi" na kama wa kike "umetuletea changudoa, house girl...nk" Hata kama ni utani huu umezidi, inaweza kutokea kweli mtoto akawa hivyo. Hii tabia mimi siipendi, mbona zamani ilikuwa safi maneno ya umetuletea "mchumba, mkwe, mama, bibi dada, nk" yalitawala na yalikuwa mazuri.
 
kweli kabisa ,ila hiyo avarta yako mmmh kila siku huwa naiangalia mara2 nadhani ndio mtoto vile unayemwongelea kwa nini wasiseme jambazi?(kiddding)
Ahahahahahaaaaaah Kwani amekaa kijambazi!!! Huyo ana ndoto za kuwa daktari (PHD)....lol..
 
wakwetu hapo utakuwa umetafuta mada kesi.....watu wanaoropoka namna hiyo si wa kuunda nao urafiki....mara nyingi midomo ya kukiri mabaya kama hayo huwa inamjengea mtoto roho ya uhalisia wa jambo hilo.....dawa nikuwa:fencing:

inaudhi wa kunyumba, yani umetoka kutoka jasho mpaka la jino labour halafu mtu anakuitia kibinti chako changudoa? watu wanapenda kuwaundia wenzao kec kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom