Hivi Neno asante/pole baada ya tendo la ndoa bado lipo?

Hivi Neno asante/pole baada ya tendo la ndoa bado lipo?

PIP yaani poor in performance mzee; wengine tukipiga machine hua tunapewa asante za kutosha na kuonesha kwamba haja pretend ukiomba game siku nyingine unaambiwa hivi, "baby wewe tu" So sio kweli kama hayo maneno siku hizi hayapo, yapo sana tu but zingatia hiyo PIP
 
Inategemea na huduma uliyotoa km njema utapewa ahsante sana sweetie kwa wingi na body massage kwa ajili ya pole na kaz.
 
Asante iko tanga bwana.pu.mbu kwenye kisosa .sitamshau mwajuma masudi 1986 makolola.
 
akuambie asante anaumwaaa siku hizi utasikia anakuuliza umemaliza?
 
Back
Top Bottom