Hivi Neno asante/pole baada ya tendo la ndoa bado lipo?

Hivi Neno asante/pole baada ya tendo la ndoa bado lipo?

Hivi POLE na ASANTE ipi hasa imekaa vema..? Make naona wengi humu wanataka kupewa pole na asante kwa wakati mmoja, ikibidi upewe moja ungependa ipi..?
 
Kwani pole hiyo inahusikaje pale wakati tumehusika kwenye starehe?

Bora upate busu tu yatosha lakini hii ya kupeana pole nahisi ndio mwanzo wa kuibiana.
Duh....hapo upo sawa kabisa
 
Asantee lazima na linanoga kama litaendana na busu zitooo la mdomoni na linatia msisimko zaidi ukiongeza na kumbatio kali, daaah duniani kuna raha jamaniii
umeonaeeee
 
LOTE="Evelyn Salt, post: 18856378, member: 65641"]Unapanda kama jogoo, takko zako sita umekitupa unataka pole au hongera?
Kuwa serious bwana[/QUOTE]
Asante Eve, Pole kuhusu nn kwa mfano na ndio kwanza kachimba tu viazi
 
Back
Top Bottom