Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Halafu huyu slaa ni mtu mzima sana ingawa mambo anayoyafanya nje ya siasa utadhani ndio kwanza amevunja ungo sorry amebarehe
 
Vipi mkichukua dola Mbowe atakuwa waziri mkuu? teh teh teh dunia inamambo hii!

ndio maana nasema elimu ya bongo mfano rafiki yangu ndani halmashauri kuu ya ccm ana vyeti feki na juzi tu aliondolewa kwenye unaibu waziri wa elimu akapewa yule mama jenista tehe tehe
 
Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi {Elimu kama ya profesa Kapuya imetusaidia nini ya Dr.Emmanuel Nchimbi imetusaidia nini na wengine wengi.
 
Phd degree masters hazijawasaidia watanzania chochote kile kwani Tokea uhuru 1961 hadi Leo Hakuna jipya kuhamia Dodoma tu imekuwa kazi kila mbunge anahamia Dsm kuja kuzidisha foleni Malawi Nigeria na South Africa walitoka Nyuma wamehamia miji Mipya sisi hadi Leo kuhamia Dodoma kumetushinda ! Hao wenye madgree wanakomaa kukaa Dsm sasa hiyo shule wanayotaka imetusaidia nini ? Kule ZNZ wanatuchuna Tanganyika kisha wanavurumusha vuvuzela tunaishia kuwasujudia na kulea muungano kwa gharama kubwa na kubakia Kuwa na muungano ghari Duniani ! Hao wasomi wamesaidia nini?

Wamekalia maneno ya Nyerere tu. Kila msomi anayeibuka badala ya kutoa mawazo yake mapya kama wasomi wamekalia nyerere nyerere.

Li muungano kila siku mgogoro badala wataalam au wasomi wetu wa international relationship na wale wa masuala ya uchumi kuchambua jambo kutoa ushauri wa kitaalam wanabaki kusema nyerere alisema. Lini tutabadili kauli kusema wasomi wetu walisema? Bado tz tunatekeleza kauli ya zidumu fikra z M/KIT
 
Unapokuja mjadala wa viwango vya elimu CHADEMA huwa wanapata kigugumizi.

Call a spade a spade![/QUOTE




Acheni ushamba nyiye wavivu wa kufikiri uongozi ni karama si viwango vya madarasa sitaki kuingia sana lakini kifupi nawauliza ninyi ambao mumesoma hadi hayo ma Phd numesaidia nini inchi kutoka hapa ilipozama katika tope kubwa la umasikini wa uelewa na kipato wenzenu walau wamesaidia kuamsha hata hamasa kwa wanainchi wanavyonyonywa hata kupindishwa kwa haki zao angalau mtanzania anaanza kudai haki zake kwa watawala. Unabeza elimu ya mwenzako ambaye walau ni mwenyekiti leo tena wa chama sasa kikuu cha upinzani wewe hata hujawahi kusaidia huko kijijini kwenu kuchagua kiongozi mzuri bali wazazi wako bado wanachagua viongozi kwa kibox cha kiberiti harafu unakuja hapa kwenye kibodi kubeza elimu ya Mbowe basi hebu jaribu na wewe siasa uone kama ni nyepesi kama kufua chupi yako.au kwa uzoefu muulize professor Ibrahim Lipumba habari ya siasa, elimu na uongozi atakusimulia harafu ndo uje hapa kubwabwaja ba kupotosha uma.Babu yako alishawahi kuwa hata mjumbe tu wanyumba ---- walau akupe experience mbulula we.
 
Naomba muweke hapa cv za elimu za Hayati Mandela, Shekhe Karume, Rashid kawawa, Kanali Gadafi (M/MUNGU awalaze mahali pema)
Itanisaidia kufanya maamuzi sahihi na kuchangia vzr hii thread.
 
huo usomi mwingi ndo unatumalizia nchi. unafkir pr. atakubali kamshahara kadogo ilhali aligharamia kiasi kikubwa kwa elimu?. huo ujanja ujanja mwingi ndo kuwaibia xana maskin wasio na elimu!!!. mtu ambaye anakula unachokula wewe utakaa nae vizur pamoja, pia kiongozi asiye wazidi sana wananch wake ndo wataendana sawa. uzalendo sio kusoma!!!!, enzi za mababu hakuwa na elimu lakin hakuna matatzo haya...
 
hvi sijaelewa kwa ulimwengu wa sasa bado chadema mnapinga elim? Nyie ndo mnataka tuwape nchi!?
 
Elimu sio necessity kwa siasa za bongo la msingi ni BUSARA
 
Silinde Degree BCOM nani kakwambia????????
 
Ni Tz pekee mtu anaweza kuiba mtihani au kununua mtihani au kuhongwa majibu kisha akafaulu bila jasho na kumiliki Cheti kiujanja janja tu huku Mzazi akitamba na kusherekea mwanae kupata Degree pasipo kufanya utafiti Kama kweli kafaulu kiharali ?tambua wapo watu wameiba mitihani kuanzia la 7 hadi form 4,na 6 kisha chuo kikuu na wakafanikiwa kupata Shahada pasipo kusoma na kuelimika vyema . Huu ujanja Ndio umepelekea wasomi wengi kukimbilia kwenye siasa kwani inakuwa vigumu kubaini mapungufu ya Taaluma Yao kwa haraka chezea Taaluma feki wewe
Ndiyo maana unakuta mtu ana Phd lakini badala ya kufundisha vyuoni, anang'ang'ania siasa, kuna nini huko! kumbe anakimbia kufundisha ataumbuka...
 
hebu weka na cv yako ili tujue uwezo wako wa kuchambua mambo kabla hatujaukubali au kuukataa umbea wako

nakupongeza ndugu yangu kwa kutuwekea cv za hao wanaojigamba kila cku kuwa chadema ni chama cha wasomi, kumbe ni wakimbia umande wakiongozwa na mwenyekiti wao makengeza.
 
kwanza halima mdee ana masters so acha utoto kutudanganya danganya then andika sources ya taarifa yako ndio tufuatilie si unakaa kijiweni na wauza bangi unakuja chafua hewa humu very xory kama nimekukwanza ila my aim it is to improve your thinking capacity and how to present hot topic infront of interlectuals

Povu la nini mkuu angalia website ya bunge alafurudi kwenye mada!
 
Back
Top Bottom