Hawa ni baadhi ya wabunge wa
kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema
mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa
tunatarajia wawe wawakilishi wetu katika medani za kitaifa na kimataifa:
1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa
ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education O
level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in
theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM,
Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay Primary,
Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM),
UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay Degree in law, Open
University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in
Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St
Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM
Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree
DIT
24) Joshua Samwel Nassari Not updated
CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari
Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu.
Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati
ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za
Dungunyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.
Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma
Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu
cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü
Macho.
Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa.
Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani?
Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.
Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na
wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu
yao.
Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore,
kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.
UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.
WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na
wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa
za kuongoza wizara.
weka na taarifa za wabunge wa ccm mkuu mbona haukuweka akina maji marefu al maarufu steven ngonyani na wengine kama tax drever wa jimbo moja la mkoa a Dar