Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Ukitaka kujua mtu mbumbumbu hupati shida, na ukitaka kujua mtu msomi utamjua tu, kwa matendo yake ya kitaalamu, mleta maada anahitaji msaada, inaonekana hajui nini maana ya elimu, yeye kwa uelewa wake mdogo, anafikili kuwa, ili uwe msomi ni lazima uwe na degree, naomba nimkumbushe kuwa, kusoma ni moja lakini kuelimika ni mbili, unaweza ukawa na degree lakini ukawa hujaelimika, mambo yako yakawa hayana tofauti na ulivyokuwa mwanzo.

inafika sehemu ni bora ukae na mtu mwene elimu ya la saba kuliko mwenye degree au Phd, elimu lazima iwe na manufaa kwa jamii, hao viongozi wa Chadema, matendo yao tu yanaonesha, ni jinsi gani wanaitumia elimu yao vizuri, na ina manufaa kwa jamii, mabadiliko tuliyoyapata hapa nchini, yameletwa na haohao Chadema unaowazarau

wewe unataka elimu ya namna gani, nikukumbushe tu kwamba, elimu ya sasa ni tofauti na ya zamani, huwezi mlinganisha mtu mwenye degree ya sasa, na form six wa zamani, au six ya sasa na four ya zamani, au four ya sasa na la nane au la saba wa zamani, nenda vyuoni saizi ukaone elimu ilivyo, zimejaa degree za mapenzi, rushwa, watoto masikini ndio tunapata shida, Mungu anatuongoza.
 
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi wetu katika medani za kitaifa na kimataifa:

1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe – Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education – O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay – Primary, Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay – Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM – Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree – DIT
24) Joshua Samwel Nassari – Not updated

CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari

Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dung’unyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.

Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma

Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü Macho.

Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa. Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani? Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.

Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yao.

Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore, kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.

UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.

WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa za kuongoza wizara.

hata wapiga kura wengi wana elimu kama hiyo au ya chini ya hapo kwa hiyo wanatufaa kabisa
 
Uwiiiii tumekwisha. Kama ndo hivyo Mungu Baba apishe mbali.
 
Huyu mleta mada anataka dunia ibaki kama ilivyo kwa kuwategemea wasomi peke yao.

Sijui unazungumzia wasomi gani na waidara zipi? Ni dr gani au engineer gani atakayeweza kuacha kazi yake na kuwa mwenyekiti wa chama wa mkoa au wilaya tena chama cha upinzani hapa AFRIKA? Hivi unafikiri wasomi wanakimbilia siasa kwa nia ya kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini? Hivi unajua msomi nia yake ni kuwa na mshahara mkubwa,kuishi kwny nymba ya kifahari kama prof.Beno Ndulu gov wa bot,kupewa gari la kifahari,kusomesha watoto wake ulaya sio kuboresha shule za kata,kununua kiwanja Masaki cha m.200 na sio uswahilini.

Hivi kwa akili yako unafikiri mabadilika ya kijamii ,kisayansi nakiuchumi yanaanzishwa na wasomi wakubwa? wasomi mara zote ni kudandia tu kazi za wale wenye elimu ndogo na kisha kutumia kalamu kubadili historia.Hata hapa tz wagunduzi wa maeneo yenye madini sio maprofesa,kadhali hizi dini tunazozifuata hazikuanzishwa na wasomi bali watu walopewa karama na Mungu.
 
mkuu umenena hebu tumuangalie daudi alipokuwa kiongozi mkubwa wa taifa la israel alikuwa ana hizo degree,phd,masters,doctoracte au ni suala la karama MUNGU amemjalia mtu.huyu mleta mada ana dhambi ya ubaguzi kwa watu ambao hawakupata fursa ya kupata elimu
 
Mwanangu Mundali umemaliza yote. Mie nimesoma Amerika kuanzia shahada ya kwanza. Nilikuja nikiwa nimeishasoma Tanzania chuo cha Manzese. Kweli nilipofika hapa nikarejeshwa kusoma upya nilianza kulalamika. Lakini baada ya kuingia darasani na kuona tofauti ya mfumo wa elimu, niliacha kulalamika na kujikunja na kufanya vizuri. Usemayo ni kweli. Wasomi wetu wengi wana matatizo ya kukaririshwa. Juzi niliona mtu anayetegemea kuhitimu shahada ya kwanza akiomba eti vyanzo (Sources) kwa ajili ya kuandika a mere research paper. Nilishangaa sana huyu hata akihitimu atakuwa na anajua nini zaidi ya kuwa na karatasi iitwayo shahada? Ni bahati mbaya kuwa mfumo wetu uliooza umeanza hata kubariki shahada za chupi, kudesa, kughushi na kununua ukiachi ambali za heshima isiyo heshima bali dharau. Hivyo nakubaliana nawe mwanangu. Tunakabiliwa na balaa kubwa tu.

Ahali yangu usiseme UONGO.

Waambie wazi wana JF kuwa ulishindwa kufaulu mtihami wa LUGHA ndio maana ukarejeshwa nyuma.

Pole sana.
 
Saidi Salim Bakhresa, Dr Reginald Mengi, Mr. Mfugale, Mr. Godliving Makundi hawa ni baadhi ya watanzania walio na mafanikio makubwa kwao kwa jamii ya watanzania na nje ya Tanzania, naomba kujua wana degree ngapi tafadhali
 
UNA AKILI NDOGO SANA. Lema si anasema amesoma Cambridge sasa huko SAUT alisoma lini? .hata website ya bunge inaonesha alisoma campridge. ONGEA UKWELI PIMBI WEWE.

mkuu Deo Corleone jrb kudhibiti kinywa chako tujibishane kwa hoja si kwa vihoja

back to the topic; kwani ukisoma saut huwezi soma cambridge let say online courses?
kuna tatizo gani mtu akisoma zaidi ya course moja kwa muda moja kwa njia tofauti?
think big brother!

cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
na CHADEMA huwa mkibanwa ngolima, mnabwatuka hovyo! Mnadhihirisha uwezo wenu mdogo wa kujenga hoja.
 
mkuu Deo Corleone jrb kudhibiti kinywa chako tujibishane kwa hoja si kwa vihoja

back to the topic; kwani ukisoma saut huwezi soma cambridge let say online courses?
kuna tatizo gani mtu akisoma zaidi ya course moja kwa muda moja kwa njia tofauti?
think big brother!

cc Moderator

Muulize iwapo Kikwete ana degree kweli iwapo anayo aliipataje maana kile kichwa kinavyochambua mambo si sawa na mtu wa degree kiko zero kwelikweli
 
Sometimes uwa najiuliza, wanaopenda kukashifu wenzao, wakipewa madaraka wanaweza!!!!!!!
 
Ahali yangu usiseme UONGO.

Waambie wazi wana JF kuwa ulishindwa kufaulu mtihami wa LUGHA ndio maana ukarejeshwa nyuma.

Pole sana.
Hii dhana ya kudhani anayezungumza Kingereza fasaha ni Msomi itakwisha lini ? Hv Yule Mzungu mzaliwa wa England asiyekwenda shule si anazungumza Kingereza?

Tambua Kuwa Elimu ya Tz ni Full magumashi wengi wanakariri sana ili wafaulu na kumiliki vyeti tu kichwani hawana Taaluma Pia Rushwa ya Ngono imechangia kudidimiza Elimu ya Tz kiukweli Elimu ya zamani ilikuwa Elimu Bora na wengi walisoma wakaelimika lakini wasomi wa siku hv ni full utata wanakariri na kuiba mitihani kisha kujitahidi kujifunza Kingereza kwa bidii ili kuwazuga watu wasiwashitukie
 
Phd degree masters hazijawasaidia watanzania chochote kile kwani Tokea uhuru 1961 hadi Leo Hakuna jipya kuhamia Dodoma tu imekuwa kazi kila mbunge anahamia Dsm kuja kuzidisha foleni Malawi Nigeria na South Africa walitoka Nyuma wamehamia miji Mipya sisi hadi Leo kuhamia Dodoma kumetushinda !

Hao wenye madgree wanakomaa kukaa Dsm sasa hiyo shule wanayotaka imetusaidia nini ? Kule ZNZ wanatuchuna Tanganyika kisha wanavurumusha vuvuzela tunaishia kuwasujudia na kulea muungano kwa gharama kubwa na kubakia Kuwa na muungano ghari Duniani !

Hao wasomi wamesaidia nini?
 
Maccm yenye wasomi wengi wamelifanyia nn Taifa?na haohao wasomi wa maccem ndo wanashadidia kura ya wazi,mm nahc maccm yamepita tu shuleni wala hayakuelimika ndo maana leo hii yanatuletea Div 3 pts 31
 
Saidi Salim Bakhresa, Dr Reginald Mengi, Mr. Mfugale, Mr. Godliving Makundi hawa ni baadhi ya watanzania walio na mafanikio makubwa kwao kwa jamii ya watanzania na nje ya Tanzania, naomba kujua wana degree ngapi tafadhali

Kati ya hao nani mbunge wa chadema?
 
Back
Top Bottom