THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Haya ndio majibu kwa ndugu Tundu Lissu kuhusu majaji.
Hii nchi naomba Mungu aingilie kati.
Hii nchi naomba Mungu aingilie kati.
Hili jembe niliwahi kuliona UDSM....nilidokezwa kuwa anafanya Masters miaka hiyoooo!! Baada ya kuona hiyo orodha iliyobadikwa..nimepata masuali mengi kidogo, moja wapo ni jee JEMBE lilipataje usajili wa kozi ya Masters akiwa na elimu/cheti cha kidato cha sita?Jamani tusitetee ujinga kwa vile wanaoguswa tunawashabikia. .. Elimu ni muhimu tutake tusitake. Hivi nani yuko tayari kwa mfano kuongozwa na rais asiyejua kusoma na kuandika katika karne ya 21? Sasa mnatetea nini hapa?...Mie nadhani wabunge wa CDM ambao Resumes zao haziko safi wanapaswa kwenda shule. Bila kusoma watapitwa na wakati. Mfano Mbowe aliwahi kuwa admitted Hull University. Je ni kwanini hakumaliza masomo yake? Alifeli, alikuwa na udhuru?
Lema ameishia form 2 hakumaliza form 4
ni kweli Lema hajawah kusoma SAUT, bt EZEKIA DIBOGO WENJE yy kasoma SAUT, mleta uzi ni full mbabaishaji, source yake imechakachuliwa, hapa tunapoteza muda tu kujadili utumbo.Mbona mnapenda kupotosha umma Lema hajawahi kusoma ST AUGUSTINE UNIVERSITY wala Wenje naye hajawahi kusoma.
Cc to.. Ngongo,
Mbona mnapenda kupotosha umma Lema hajawahi kusoma ST AUGUSTINE UNIVERSITY wala Wenje naye hajawahi kusoma.
Cc to.. Ngongo,
-Kama CHADEMA ina watu wa kiwango hiki kama mleta mada anavyotaka juaminisha na bado inakimbiza wale competent kwa muonekano wa CV basi hao ndiyo wanafaa.Na sasa wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kuziba ombwe la uongozi lililosababishwa na the so called wasomi mahari na wenye CV nzito
-Kama CHADEMA ina watu wa kiwango hiki kama mleta mada anavyotaka juaminisha na bado inakimbiza wale competent kwa muonekano wa CV basi hao ndiyo wanafaa.Na sasa wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kuziba ombwe la uongozi lililosababishwa na the so called wasomi mahari na wenye CV nzito
Mbowe ana BBA na MBA kwa taarifa yako, fuatilia takwimu halisi. Usikurupuke!