Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,466
Elimu ni muhimu sana kwa karne ya leo na sisi Chadema tunathamini sana elimu na ndio maana Mwenyekiti amekuwa akihamasisha sana wasomi na vijana kujiunga na chama na kuwa kwenye nafasi mbalimbali za chama na serikali. Chadema ina vijana na watanzania wengi sana wasomi wa kubobea wenye elimu na taaluma mbali mbali. Kwenye uongozi wa kisiasa bado kunachangamoto nyingi. Kazi kubwa ya wapiga kura hawaangilii elimu tu ya mgombea bali ufanisi wake wa kazi, uzalendo, utumishi, uaminifu, ubunifu, uwakilishi kubwa zaidi ni vipi ataweza kuwaletea wananchi husika maendeleo.
Ni swala la mwenye elimu kubwa kujiuliza kwanini ashindwe je ni kweli vyeti vyake vinaendana na output yake?? Hayamkini vyeti vikawa ndio chanzo cha uzembe na wizi nk au kutokuwa na vyeti kukawa ndio chanzo cha kutokuwajibika. Wagunduzi wengi na hawakuwa na elimu ya vyeti ila walikuwa wasomi sana. Elimu ni uelewa wa unayoyafanya na vipi uyafanye. Nchi zilizoendelea huwa zinatumia maneno haya first degree au udhoefu wa miaka mitano kwenye kazi husika masters au miaka kumi ya kazi na kuonyesha uwezo na ubunifu.
Kuna on job training nk.
Pamoja na yote hayo elimu ya mtu iwe na vyeti au la inapimwa na output sio mzigo wa makaratasi unaoitwa vyeti tu. Watanzania tujifunze kutumia elimu zetu ziendane na tuliyofundishwa darasani la sivyo baadhi ya hao tunaowaona hawajasoma watatutoa jasho sana.
Bado nasisitiza kuwa Chadema inathamini sana elimu na itahakikisha kwa kila ajira atawekwa mtu competent mwenye elimu, ujuzi na udoefu unaohitajika.
Wote wenye mashaka na viongozi wa chama waangalie utendaji wao wa kazi na ufanisi wao.
Chairman wa CDM amekitoa chama kikiwa hakijulikani mpaka sasa chama kiko tayari kuingia ikulu na haya yamefanyika ndani ya chini ya miaka kumi. Je kama ni CEO unamchukua Mbowe au Jakaya kikwete?
Mbowe bila resources za kutosha ameweza kukifanya chama leo kina wabunge 48 kinajulikana Tanzania nzima na duniani na kipo tayari kuingia ikulu huku akikisababisha CCM kubadili uongozi mara tatu ndani ya miaka mitatu. Kiongozi huyu ameonysha uwezo mkubwa wa uongozi tukiwalinganisha kwenye utendaji, ufanisi, na uwajibikaji.
J kikwete akiwa na resources zote muhimu ameshindwa kuongoza nchi na chama chake kati ya hawa wawili ukiambiwa uchukue CEO utamchukua nani???
Ukiwa ni mtu wa kupenda kujiendeleza unaweza kujisomea na kuwa na uwezo wa phd bila cheti na hili linafanyika sana duniani mfano ni akina bill gates, dell, nk hawa waliweza kujisomea kwenye mambo waliyoona yanawezekana. Ikumbukwe haya yote hayatoe umuhimu wa elimu ila elimu ni uwezo wa kusoma vitabu ubunifu, utendaji , ufanisi na matokeo chanya. Ukiwa na vyetu rundu halafu ukawa huna unaloweza hutufai. Tunahitaji elimu yenye uzalishaji chanya, maadili na utii wa sheria.
Chief Mkwawa wa Kalenga
Serikali ya chadema itailetea Tanzania maendeleo ya kweli bila mawaa. Sheria za nchi zitakuwa kioo cha viongozi na maadiili yake.