Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Tunahitaji viongozi wenye utashi wa hali ya juu, maono na uchungu wa nchi yao kama kina marehemu Kawawa nk. Ila pia tunahitaji watendaji wasomi na wenye weledi wa kutosha ili kupeleka nchi yetu mbele.
Kuwa na viongozi wasomi wasio na utashi wala maono na uchungu halafu watoto wao kwa vile wako maisha bora wanabebwa katika elimu bila kuelimika kisha wanapewa nafasi nyeti katika idara na mashirika nyeti mwishowe ndani ya 50 years tunakuwa na nchi ya hovyo pamoja na kuwa na rasilimali za kutosha.
View attachment 143273
View attachment 143274
View attachment 143275
View attachment 143276View attachment 143278

Halafu wakati hali iko hivyo viongozi wetu hawo wasomi wao wanajirusha tena katika hali ya kutia mashaka na maadili yetu. Mfano huu hapa;
View attachment 143279


Sent from my iPad using JamiiForums
Wenyewe wametulia wanakula nchi nyinyi mnawachokoza... Huyu wa kwanza hapa chini huwa hana simile shauri yenu...mimi naondoka
 

Attachments

  • CCM-Kapuya na Dokii.jpg
    CCM-Kapuya na Dokii.jpg
    12.9 KB · Views: 811
Napenda kutotafasiriwa vibaya na wanajf, lengo langu kuhusu elimu ya viongozi wetu wa chadema. Kiukweli chadema inaongozwa na viongozi wengi wenye elimu mbovu, isiyofaa kwa kipindi hiki cha science na technology. Hivi hawa hawatambui na kuingia class na kupiga shule, najua wenye elimu ndogo kama wao mnaweza kuja na hoja eti elimu sio lazima katika uongozi, kama ni hivyo tuvunje vyuo vyote au tuchague wasio jua hata kusoma! Tusiwapotoshe hawa viongozi wetu tuwashauri waingie class wapige buku zeni watumie hizo busara kutoa maamuzi! Sio kuwa wabishi bila logic. Pia wewe unayesoma hii threadz washauri wasome! Ntaendelea baadae na hoja!
Tuambie umuhimu wa degree kwa mbunge. Hivi kusema wananchi wako hawana maji,hawana huduma za afya,hawana barabara mpaka uwe una degree..!? Uongozi siyo taaluma. Wakati mwingine huwa napata shida sana,mnapoandika huwa mnatumia viungo gani kufikiri..!!?
 
Upeo wako kujadili masuala kama haya.elimu sio kujua kusoma tu hata kuvitumia ipasavyo unavyo soma.nakupa pole nape f4 ya 29 haizungmzii

Mbona tushawahi kuwa na Madocta na maprofessor wa CCM na akina Governor Balali lakini walituibia na akina Mramba Msabaha Kayumba Karamagi Zhakia Lowuuwasssa nk walituibia na wengine wakatengenezewa kifo bandia
 
Wote waliosoma saut walikuwa wana-report kwako?

UNA AKILI NDOGO SANA. Lema si anasema amesoma Cambridge sasa huko SAUT alisoma lini? .hata website ya bunge inaonesha alisoma campridge. ONGEA UKWELI PIMBI WEWE.
 
Usomi ni zaidi ya vyeti... Kama una elimu ila huwezi kutatua matatizo madogo tu ya jamii then huna tofauti na asiye na shule...
 
Kwani hao viongozi wa chadema nan aliwalea zaid ya ccm? Unaposema chadema inaongozwa na ciongoz wenye elimu ndogo nakushangaa sana ndugu yangu. Mfano mzur mweka hazina wa ccm mkoa wa tanga hata darasa la saba hakumaliza! Halafu ni vizur ukajua kwamba suala la usimamiz wa elimu na kutoa elimu hiyo kwa watanzania lipo mikonon mwa ccm tangu uhuru. Unanithibitishia kwamba ccm imeshindwa kaz yake! Badili fikra zako ili ziweze kufikiria kwenda mbele na sio nyuma
 
Wenyewe wametulia wanakula nchi nyinyi mnawachokoza... Huyu wa kwanza hapa chini huwa hana simile shauri yenu...mimi naondoka

Nikiwa nazungumzia Pasipo kuegemea CCM wala Chedema kwa kweli hapa Tz Elimu kubwa na Siasa havina Uhusiano kabsaa kwani ukitizama utendaji wa kazi wa wale wanaojiita Wasomi umejaa walakini asilimia 70% ya wasomi wa Tz wamesoma kwa kukariri tu hawana Taaluma kichwani wanamiliki vyeti pasipo Kuwa na degree za kweli kwani huko Vyuo vikuu walimu Nao hawana maadili wanatoa majibu kwa mabinti Rushwa ya ngono ipo juu wizi wa mitihani Nao imekuwa kawaida sana yaani Elimu ya Tz ni Full magumashi Ndio Maana hao wanaojiita wasomi wengine wanashindwa hata kuongoza Familia zao tu . Huko Ulaya ndiko wasomi wanahitajika kwenye Ulingo wa Siasa lakini Tz wasomi kwenye siasa walishakwama siku nyingi sana Chezea degree feki wewe.....,
 
Ni Tz pekee mtu anaweza kuiba mtihani au kununua mtihani au kuhongwa majibu kisha akafaulu bila jasho na kumiliki Cheti kiujanja janja tu huku Mzazi akitamba na kusherekea mwanae kupata Degree pasipo kufanya utafiti Kama kweli kafaulu kiharali ?tambua wapo watu wameiba mitihani kuanzia la 7 hadi form 4,na 6 kisha chuo kikuu na wakafanikiwa kupata Shahada pasipo kusoma na kuelimika vyema . Huu ujanja Ndio umepelekea wasomi wengi kukimbilia kwenye siasa kwani inakuwa vigumu kubaini mapungufu ya Taaluma Yao kwa haraka chezea Taaluma feki wewe
 
Kuhusu Mh. Mbowe, Katiba inatamka kuwa mgombea urais awe na elimu angalau shahada ya kwanza....Kama Mbowe alipitishwa kugombea urais, means yeye ana shahada ya kwanza au zaidi...Na kwa taarifa ni kwamba Mbowe ana shahada ya kwanza ya elimu kutoka UDSM, na ana MBA
 
Taaluma na Siasa za USA Ulaya na Asia Ina nafasi kubwa sana lakina kwa Tanganyika Siasa na Elimu kubwa havina Uhusiano Ndio Maana vioja ktk Siasa za bongo hiviishi !
 
uongozi ni karama sio elimu mfano kwa wasomaji wa biblia daudi alipokuwa kiongozi mkuu wa nchi ya israeli alikuwa ana phd,degree au diploma
 
kiongozi ni karama .....people are born to a leaders unafikiri ww ukienda usome ma degreeee masters na ma mistresss ndiyo utajuua kyongoza....bogus tu...sana sana utakua mwizi.
 
Elimu haina mausliano na ustawi wa jamii. Sio wasomi tunapozipata nafas ni kupindisha taratibu ili kulimbikiza mali na utajiri uliopinduka. Angalia majimbo ya wasomi wa phd na profesorship yako nyuma lakini wa kawaida yanamelemeta.fungua ubongo
 
Back
Top Bottom