Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

WEWE NDIO UMEKARIRISHWA

JUZI TU KANISA LA ROMA LIMEJITOKEZA KUOMBA MSAMAHA WA MAUAJI YA KIKATILI MIAKA HIYO

f0ab78360cc007b5942f955fbc7e2c2a.jpg
Mimi ni mkatoliki na kama nikweli kanisa limeomba msamaha kwa hill unalodai, ni kitendo cha unyeyekevu wa hali ya juu, kwa sababu hata waisrael wakati wanaingia nchi ya ahadi Mungu aliuwa waamori, wafilisti, wakaridayo lakini mpaka leo hajaomba msamaha
 
Mkuu, hizo ni rejea mbalimbali...Ni ukweli usiopingika kuwa Wasabato ni moja ya cult zilizofanikiwa sana kujipenyeza....Kanisa la SDA huko Marekani ni kama limeshakufa.

Kaka Otorong'ong'o ukifuatilia historia ya watu weupe(English) walivyoingia marekani, yaani pligrims na puritans historia yao na mabadiliko yao kamwe hutokaa uamini kitu chochote chenye chimbuko la Marekani, hata mitumba ya nguo za USA hutovaa, usibishane na wasabato wanaosali siku iliyokuwa fixed na pope Gregory the great after new calender (Gregorian calender) being in use.

Hawajui jinsi Rc ilivyo beyond the thinking capacity ,

Sikh moja niko home msoma maeneo ya bus stop msabato mmoja aliyeaminiwa alikuwa anapotosha kondoo(bibilical imagery) waliokuwa wamemzunguka, I was like " God why can't You slap that sh**t "

NB #wasabato_wanahitaji_msaada_wa_haraka
 
Mimi si muuminiwa dini yoyote, lakini napenda sana kusoma biblia. Ninachokiamini ni kwamba dini yoyote nzuri ni ile tu inayofuata sheria zote za Mungu. Wakristo walio wengi ukiwauliza siku ya saba ya juma ni ipi watakuambia ni jumamosi, na wanakiri kwamba kweli ni jumamosi. Lakini linapokuja swala la kwanini amri hii haifuatwi!? Na wakati ndio amri iliyotolewa ufafanuzi kwa maelezo mengi, na hata ukiangalia kwenye biblia ni dhahiri unaonekana uzito uliowekwa kwenye amri hii?? Nilitegemea waje na majibu kutoka kwenye biblia, lakini kinyume chake na ndio ukweli wenyewe hii siku ilihamishwa na mtu na kwa maana hyo makanisa yaliyo mengi ya kikristo yanafuata mapokeo katika amri hii, kitu ambacho kinapingwa vikali na Yesu katika kitabu cha Marko. Kanisa katoliki wana amri zao 10 tofauti na zile zilizopo kwenye biblia, na hili liko wazi kabisa. Wameitoa amri ya nne katika biblia na wameigawa amri ya kwanza katika amri 2 ili zitimie 10.... Haya mambo ni dhahiri yapo wazi kabisa lkn kuna watu walio wengi wanajitia tu upofu juu ya haya. Nilitegemea kama watu ni wakristo basi mwongozo wao uwe ni biblia na si kitabu kingine chochote kama ambavyo mambo mengine yanafanyika na hayapo kwenye biblia. Kuna kitabu kinaitwa mnyama, joka na mwanamke kimendikwa na mtangazaji mmoja wa redio nchini marekani na reference yote ya kitabu hicho ni biblia. Ni vema tukawa tunasoma halafu tukawa tunakuja kujibu kwa hoja kuliko kuja hapa na kubisha bila kuwa na facts ila mapenzi yako juu ya kitu unachokiamini. Nikipata wasaa nitakiupload hiki kitabu. au kama unaweza search jina la hicho kitabu google, then link ya kwanza itakayokuja ni pdf ya hicho kitabu. Karibuni tuchangie hoja
 
Kaka Otorong'ong'o ukifuatilia historia ya watu weupe(English) walivyoingia marekani, yaani pligrims na puritans historia yao na mabadiliko yao kamwe hutokaa uamini kitu chochote chenye chimbuko la Marekani, hata mitumba ya nguo za USA hutovaa, usibishane na wasabato wanaosali siku iliyokuwa fixed na pope Gregory the great after new calender (Gregorian calender) being in use.

Hawajui jinsi Rc ilivyo beyond the thinking capacity ,

Sikh moja niko home msoma maeneo ya bus stop msabato mmoja aliyeaminiwa alikuwa anapotosha kondoo(bibilical imagery) waliokuwa wamemzunguka, I was like " God why can't You slap that sh**t "

NB #wasabato_wanahitaji_msaada_wa_haraka
Umeongea pumba nyingi sana

Ila ngoja nikujibu hili

KALENDA YA KIYAHUDI, KIARABU ,KIRUMI

SABATO NI JUMAMOSI

nilichogundua bado mnahitaji msaada

Na nitawasaidia

Kuna masomo mengi yanakuja kwa ajili yenu
 
Kuwa great thinker

Roman ilimwaga damu kwa kuwaua wakristo

Mfano john huss, tyndale

Inakadiriwa iliua wakristo Zaidi ya MILLION 50

d5e839497381679443e5f13402381adf.jpg
Wewe ulitaka auwawe nani ndipo ukristu usonge mbele?
 
Kaka umenikumbusha kitu wakati niko Dar. Kuna msabato mmoja alinipa ratiba nzima ya nchi atakazotembelea papa. Wakati huo alikua papa Benedict xvi. Katiaka ratiba aliyo nipa hakuna hata moja iliyotimia badala yake alienda uingereza ambayo haikuwemo hata kwenye ratiba yake. Akanipa viatabu vyote ni kuhusu papa. Mara the great controversy, America in history, secret terrorists. Vyote ukisoma ni papa na ukatoliki. Ikamuuliza hivi vitabu vinanijengaje kiroho. Akaniambia nitujua ukweli. Yani kwa msabato dhambi ni ukatoliki. Wanawafundisha judo vijana wao "Adventtist youth" eti ili wapambane na wakatoliki siku ya kulazimisha Sunday law.
Kiukweli kabisa mkuu tangu nimewajua wasabato sijawahi hata mara moja kuona wakipita kutoa vipeperushi/vimagazeti vyenye kufundisha kitu kingine zaidi ya Papa, Ukatoliki na Freemason
 
Unapoteza Muda kushindana na kanisa katoliki la mitume... jaribu kazi nyingine...
 
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"

Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.

Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai

Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...

Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.

JE_WAMEISHIA_HAPO_TU

"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.

Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
Wasabato mnahangaika sana,bora mjikite kwy kutunga nyimbo zenye kueleweka!Kanisa mama litaendelea kudumu pamoja na vita linayopigwa ni waislam,wasabato,wabudha,dictector Kim wa Korea,shk ponda,nk
 
Umeongea pumba nyingi sana

Ila ngoja nikujibu hili

KALENDA YA KIYAHUDI, KIARABU ,KIRUMI

SABATO NI JUMAMOSI

nilichogundua bado mnahitaji msaada

Na nitawasaidia

Kuna masomo mengi yanakuja kwa ajili yenu
Acha ujinga!! Usijifanye hujui kuwa kalenda ya zamani haina siku 365 na robo, kwa akili zako ndogo unahisi hii robo haina athari katika mabadiliko ya Siku!!?
 
Njama na mipango inayo fanywa na KANISA la ROMA juu ya mauji ya watu na hasa viongozi wasio na Imani juu ya matendo/mafundisho ya KIRUMI ambayo katika undani wake unakutana na mafundisho juu ya kumtii LUSIFAR (baba wa imani ya ILLUMINATI)

Wengi wa waumini waliuwawa Roma Italia na Kundi la MAFIA likiongozwa na kudhaminiwa na KANISA......REJEA HISTORIA YA MAFIA...
 
Ata Mtume Paul anasema upumbavu wa Mungu ndio wokovu wetu. So huo ugonjwa wa kichaa wa Ellen White na hizo ndoto za ukichaa ndio wokovu wetu so wewe inakusumbuwa nini????
Kwa hiyo Ellen ndio Mungu wenu? Asante, umesema vema.
 
Hivi ninyi hamuoni aibu msabato yeyote anaongea kwa kutumia nukuu za biblia lakini wengi mnapinga bila ya kutumia hata mstari mmoja wa biblia mnachofanya ni kutoa maoni yenu na mliyoyasikia kwa watu sio toka kwenye biblia

Kweli nimeamini lile neno linalosema watu hawa wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii

Mfano sasa makanisa yanarudi kuungana na RC ila RC aliyoipinga Luther ndo ile ile kwani Roma inaamini haikosei na haijawahi kukosea kinachonishangaza ni kwamba leo hii walutherani na waprotestanti wote mmeyaona yale madhaifu aliyoyatoa Luther hayana maana yeye alitumia biblia kujitenga na uovu wa RC
Je nyie leo hii mna maandiko gani kujiunga nao tena.
Je giza na nuru vinaweza kukaa pamoja??

Ila hii hali inanifikirisha jinsi wengi walivyomdharau nuhu alivyokuwa akijenga Safina matokeo yake wakaangamia kweli nawaambia kama msipotaka kujifunza mtakapokuja kushtuka mlango wa safina utakuwa ushafungwa na utaangamia ktk gharika, na wakumlaumu ni ww mwenyewe maana injili inahubiriwa kila mahali kabla ya mwisho wa dunia kufika kama ushahidi ili mtu asijemlaumu Mungu kwamba akusikia ukweli hivyo kufanya mabadiliko ni uamuzi wako

Hivi ugumu unakuja wapi maana msabato anaihubiri biblia na anahimiza kwenye kusoma biblia sasa biblia ni ya msabato ama ya Mungu, sasa huoni anakuhimiza upate kumjua Mungu

Ila kitu kimoja wasabato hamna haja ya kubishana maana wengi humu hawajui wanachokiongea na wengi lugha zao za matusi, kashfa na fedhea zinadhihirisha wazi hawana uongozi wa roho wa Mungu hivyo ni bora kunyamaza ila kama kuna mwenye nia ya kujifunza mjadili maana kwa kubishana mnaweza kuwapeleka mbali na ukweli Otorong'ong'o
 
Ila kitu kimoja wasabato hamna haja ya kubishana maana wengi humu hawajui wanachokiongea na wengi lugha zao za matusi, kashfa na fedhea zinadhihirisha wazi hawana uongozi wa roho wa Mungu hivyo ni bora kunyamaza ila kama kuna mwenye nia ya kujifunza mjadili maana kwa kubishana mnaweza kuwapeleka mbali na ukweli Otorong'ong'o
Usipende kuni-mention kwenye post za kishenzi....Hizi peleka kwenye lesson na kambi za kisabato
 
Back
Top Bottom