Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Imeandikwa "mshike sana elimu, wala usimwache aende zake " hujawahi kusoma kipengele hicho?
Tatizo lenu ninyi hamsomi kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Bila kujua kusoma utajuaje kusoma hata hiyo Biblia yako?
Bila Elimu tusingekuwa na MADAKTARI, WALIMU NA WATAALAMU MBALIMBALI. Hata hiyo simu unayoitumia ni kutokana na elimu. POLENI SANA.
 
Msabato yeyote ni mpuuzi biblia inavitabu zaidi ya 60 wao wanakalilishwa vifungu vya ufunuo na danieli vitu ambavyo havieleweki nivyakusadikika wameshindwa kuhubili vitu raisi kama vile mpende jirani yako kama nafsi yako maana imeandikwa." Wawezaje kumpenda Mungu usiyemuona ilihari wamchukia jirani yako"1Yoh 4:20.
Pia Waraka wa yakobo 1:26 Dini ya kweli ni kuwasaidia yatima na wajane.

Hayo wamegundua hawayawezi maana wanasema neno hawatendi neno wanakimbilia kwenye unabii nikamuona mnyama mwenye vichwa saba huyo ndiye papa sasa hiyo conclusion itakupeleka mbinguni?
Maandiko yanasema "je wale walioangukiwa na mnala kule Siloam walikua wadhambi kuliko nyie? Nanyi msipotubu mtaangamia vivyo hivyo."
 
Wasabato na mauzauza yao. Yaani hata Papa akijamba tayari unabii umetimia. Wakati huo huo hata wenyewe historia yao kuanzia kwa mwanzilishi wao Miller na kuendelea mpaka kwa "nabii" wao mama Ellen G. White imejaa mauzauza tupu. Na wanaamini kabisa kuwa wao peke yao ndiyo watakwenda mbinguni kisa eti wanaabudu siku ya Jumamosi, hawali samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua
WATASUBIRI SANA
 
Dini ni ujinga,

Dini si Mungu, Mungu si Dini

Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu

watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa

Heri ya mwaka mpya
Mkuu umemaliza, mwenye sikio la kusikia na asikie
 
Wasabato na mauzauza yao. Yaani hata Papa akijamba tayari unabii umetimia. Wakati huo huo hata wenyewe historia yao kuanzia kwa mwanzilishi wao Miller na kuendelea mpaka kwa "nabii" wao mama Ellen G. White imejaa mauzauza tupu. Na wanaamini kabisa kuwa wao peke yao ndiyo watakwenda mbinguni kisa eti wanaabudu siku ya Jumamosi, hawali samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua
Hawa si ndio walisema wametumwa na Mungu kuhubiri injili Iraq wakaenda Airport bila passport wala nauli. Mwisho wa siku wakaweka kambi pale kusubiri usafiri walipokosa wakarudi makwao..
Hivi Mungu akutume mahali asikiwezeshe kufima huko ....
Wengi wao wasaka sadaka tu hawa.
 
Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Pole na kanisa lako la mfukoni na pastor wako chuki yenu juu ya kanisa katolik tushaijua
 
Pole na kanisa lako la mfukoni na pastor wako chuki yenu juu ya kanisa katolik tushaijua
Naona jiwe limekupata huko mafichoni.Karibu, hapa hoja hutolewa kwa mujibu wa Biblia na hujibiwa kwa Biblia.Kinyume na hapo ni upagani, hapa si mahali pake.
 

Nilimsikiliza huyu jamaa Muitaliano aliyeconvert na kuwa muislam mwanzo mpaka mwisho

Jamaa ametoa ushuhuda mkubwa sana na mzuri, huyu na Farakhan wa Nation Of Islam (NOI) ni kati ya waislam waelewa wasio na chuki na wanaoweza kabisa kumfanya mtu kujoin uislam muda wowote kwa mafundisho yao.

Ni kwavile wapo reasonable na wanaujua pia ukristo.
 
Huyo pastor aliyatoa wapi hayo maandiko? Weka source kabisa ili tujisomee wenyewe.
Alafu, je biblia tunazozitumia mbona hazituelezi chochote juu ya hayo mnayoyasema ninyi? Au unataka kuthibitisha kuwa hizi biblia zote ni zile za kikatoliki? Na kama sio za kikatoliki, mbona hatuoni sehemu zinapozungumzia uovu wa kanisa katoliki?
Note: usianze kutokwa povu wakija wenyewe maana mimi pia sio mkatoliki.
Kazana kusoma biblia umekaribia kuujua ukweli kaka
 
Wasabato wanajumuishwa na hao wengine na wanatambuliwa kama mojawapo ya Christian cults zilizofanikiwa sana. Mojawapo ya mafundisho yao yanayopingana na Biblia ni hili: Wanaamini kuwa Yesu hakukamilisha kazi ya wokovu pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) kuendelea kutuombea mbele ya Mungu Baba. Halafu wana kiherehere cha kutabiri kila jambo linalotokea duniani na kulihusisha na unabii. Yaani ukiwasikiliza aisee hutaweza kuishi. Ndiyo maana mwaka 1884 mwanzilishi wao aliwarubuni wafuasi wake kuwa mwaka huo Yesu anarudi wakauza kila kitu kumbe uwongo. Baadaye ndiyo ikasahihishwa kwamba mwaka 1884 haukuwa wa kurudi kwa Yesu bali ni Yesu alikuwa anahamia kwenye chumba cha Patakatifu pa Patakatifu huko mbinguni tayari kuanza kazi ya kutuombea mbele ya Mungu Baba.

Wanaweka msisitizo usio na sababu juu ya sheria za Musa hasa juu ya vyakula na ushikaji wa Sabato. Hakuna kula samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika au wasiocheua na siku ya Sabato hairuhusiwi hata kupika. Msisitizo huu katika sheria za Musa hata Yesu aliukemea mara nyingi na alikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Mafarisayo. Ndiyo maana aliwakemea walipomzonga baada ya kumponya mtu siku ya Sabato na kumwambia ajitwike godoro lake aende.

Wanadhani kuwa kushika sheria hizi ndiyo kutawaokoa na wanadhani kuwa kwa kushika misheria hii ya Musa basi wao ni watakatifu kuliko Wakristo wengine. Kumbe Biblia na Yesu mwenyewe walifundisha kinyume chake. Yaani ni mvurugano mtupu lakini wanaamini kuwa wao ndiyo watakatifu pekee watakaokwenda mbinguni.
Kwani Nabii Musa alikuwa msabato?kwanini wasabato wanatumia sana kitabu cha agano la kale?pia umesema Musa na Yesu walifundisha mafundisho tofauti lkn Yesu alisema hakuja kutengua torati wala kupinga manabii kwa maana ya kumuunga Musa mkono kwa aliyokuwa akiyafundisha.vile vile umesema Musa na Yesu ni tofauti sasa najiuliza sasa hii kumbukumbu LA torati 18:18 pale inamtabiri nani sasa kama wao ni tofauti?
 
Back
Top Bottom