Mkuu, hiyo post ni kweli tupu...
Wasabato hawaamini ufufuko wa Yesu...Kitendo cha mama Ellena White(sorry, Bibi Ellena White) kusema kazi aliyoifanya Yesu pale msalabani ni bure, na kuwa ameenda patakatifu pa patakatifu(kufuru hii) kufanya hukumu ya upelelezi ni ishara Wasabato sio Wakristo ila ni Wapinga Kristo ....
Wasabato ni laana iliyoletwa duniani na Bibi Ellena White...
Wewe tangu lini dhehebu lianzishwe na mwanamkr aliyekuwa kichaa tena chini ya uangalizi wa madaktari wa magonjwa ya akili..??? Inasikitisha sana