Wasabato wanawapa shida sana, hasa ukigusa hawa Warumi weusi, mbona warumi original yaani wazungu RC hawasemi Chochote, hawajalalamika?. nyie ni nani kwanza mpaka mtetee mungu wao ana wahusu nini wakati mmekaribishwa tu. na mnaweza kuondoka mkichoka. kwa Dunia ya leo huo ni uzwazwa kufuru. hata mtetee mpaka mnakesha uchi Vatican mtaisikia tu kule nyani hawaingii kirahisi rahisi, pia mkae mkijua Papa nyani mweusi ni marufuku. aibu sana yaani nyani weusi wa Rome? siyo mimi nasema haohao wazungu wa Rome wanasema. kwa upande wa Islam shida siyo kuubwa km hawa ndugu.
Yesu wenu ni mzungu ni sawa, hatukatai sisi kwa hilo, siyo Yesu wa wasabato, kwani mnafundishwa nini mnapoungama dhambi zenu madhabauni kila jumapili kwa padre? sijui hayaelewi haya majitu? au mnachanganywa? maana hawa jamaa wa vatican kwa elimu ya uongo hawajambo. na mungu wenu wa Vatican siyo Mungu wa wasabato. kwa nini mnaunganisha Mungu wa sabato na mungu wenu? nyie wagalatia mmelogwa au!
Mnajipendekeza kwa Mungu wa sabato si mwende mkajiunge, njia nyeupe ukitubu unakubaliwa, unaenda popote Duniani bila Passport.
Sisi walokole tumetengwa, tumebaguliwa, mnatuzika kabla hatujafa? hamtuzungumziii kwa nini?