Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

raha sana jaman nmefurahi mno haya majibizano mmenifunguaaaaaaaa akili
 
Lazima mumuite kichaa kwasababu maovu yenu yote ameyafunua
Mkuu, tulia kidogo bana....

Unajua Binti Ellen Gould alipokuwa na umri wa miaka 12 akiwa anacheza na wenzake aliangukia jabali ,kwa bahati mbaya kumbe aliangukia kichwa..

Binti, Ellen baada ya ajali hiyo, alikaa kwenye coma kwa muda wa miaka 10... Masikini Binti Ellena hakuweza kuendelea na shule kama wenzake...

Binti Ellena baada ya kuamka kwenye coma, aliwekwa kwenye uangalizi wa madaktari wa afya ya akili...

Binti Ellena inasemekana alikuwa akipatwa na ndoto za ajabu ajabu sana, kiasi ilifikia hatua alikuwa anarudishwa hospitalini kwa matibabu zaidi....Na hii ilisababishwa na mtikisiko mkubwa wa ubongo alioupata binti Ellena alipokuwa na miaka 12...,

Binti Ellena akakuwa kwa shida, akaja kuolewa na Bwana mmoja mkulima wa Massachusset aitwaye James White.....

Hawa walikuwa wakisali kanisa la Methodist huko marekani....Ila walitumuliwa na Kanisa hilo kwa kushabikia mafundisho ya Bw. Miller...

Ila cha kusikitisha Mama Ellena White, ule ugonjwa wake wa akili kumbe ulikuwa haujakwisha...Aliendelea kuota ndoto za ajabu ajabu...

Ndoto hizo ni pamoja na kusema eti alichukuliwa mbinguni na kwenda kuoneshwa Yesu alikuwa patakatifu pa patakatifu akifanya hukumu ya upelelezi....Jaman jaman...maajabu haya....

Yani ndoto za kichaa, leo ndio zimekuwa nafundisho ya kanisa...Ni ajabu....
 
Ata Mtume Paul anasema upumbavu wa Mungu ndio wokovu wetu. So huo ugonjwa wa kichaa wa Ellen White na hizo ndoto za ukichaa ndio wokovu wetu so wewe inakusumbuwa nini????
 
Mkuu, tulia kidogo bana....

Unajua Binti Ellen Gould alipokuwa na umri wa miaka 12 akiwa anacheza na wenzake aliangukia jabali ,kwa bahati mbaya kumbe aliangukia kichwa..

Binti, Ellen baada ya ajali hiyo, alikaa kwenye coma kwa muda wa miaka 10... Masikini Binti Ellena hakuweza kuendelea na shule kama wenzake...

Binti Ellena baada ya kuamka kwenye coma, aliwekwa kwenye uangalizi wa madaktari wa afya ya akili...

Binti Ellena inasemekana alikuwa akipatwa na ndoto za ajabu ajabu sana, kiasi ilifikia hatua alikuwa anarudishwa hospitalini kwa matibabu zaidi....Na hii ilisababishwa na mtikisiko mkubwa wa ubongo alioupata binti Ellena alipokuwa na miaka 12...,

Binti Ellena akakuwa kwa shida, akaja kuolewa na Bwana mmoja mkulima wa Massachusset aitwaye James White.....

Hawa walikuwa wakisali kanisa la Methodist huko marekani....Ila walitumuliwa na Kanisa hilo kwa kushabikia mafundisho ya Bw. Miller...

Ila cha kusikitisha Mama Ellena White, ule ugonjwa wake wa akili kumbe ulikuwa haujakwisha...Aliendelea kuota ndoto za ajabu ajabu...

Ndoto hizo ni pamoja na kusema eti alichukuliwa mbinguni na kwenda kuoneshwa Yesu alikuwa patakatifu pa patakatifu akifanya hukumu ya upelelezi....Jaman jaman...maajabu haya....

Yani ndoto za kichaa, leo ndio zimekuwa nafundisho ya kanisa...Ni ajabu....
Huu uongo hata mtoto mdogo humdaganyi.Ellen White amewashika pabaya vatican na jesuit yao hawana hoja.wakaamua kutunga uongo na upotoshaji mwingi kama baba zao warumi walivyojaribu kuficha taarifa za kufufuka kwa Yesu.Ukweli utakuweka huru ndugu,mwamini Yesu akuokoe dhidi ya udanganyifu wa Shetani.
 
Hebu acha ukichaa kama mama yenu white. Lini kanisa limejaribu kuficha kufufuka kwa Yesu? Moja ya fundishonkuu la imani Katoliki ni Yesu alikufa, Yesu alifufuka na Yesu atarudi tena. Yani ndo nagundua nyie wasabato bado nimatapishi ya unabii ulioshindwa wa millarite movement. Hta ufanyeje nyie hata msichojua kuhusu kanisa Katoliki mkisha ambiwa mnadhani ndo ukweli. Halafu ona haya kusema eti amelishika kanisa katoliki pabaya. Katika watu ambao wala hatuwafikirii kama threat ya uhai wa kanisa ni nyie wasabato.
 
Wasabato wapumbavu wanatafuta Kiki kupitia kanisa katoliki,,, ili kanisa liko imara haliwezi tikisika hata siku moja,, nyie Wasabato ni vichaa kwasababu tangu muanze kupinga kanisa katoliki hamjawai fanikiwa hata robo , pumbavu
 
Kwa hiyo nawasabato wako chini ya papa au wao sio wakristo?
WAKATOLIKI SIYO WAKRISTO
---->Yesu aliamuru tumwombe Mungu kwa jina lake Yohana 14:13,14; Yohana 16:23.
----->Matendo 4:12 Wala hakuna wokovu KTK mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
------>2Timotheo 2:5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;
>Aya hizo zinabainisha upotovu wa Wakatoliki, wao huomba kwa jina la Maria, humtaja Maria kuwa ndiye mwombezi na mpatanishi wao badala ya Yesu kama yasemavyo maandiko.
>Kazi ya kuombea na kupatanisha watu na Mungu ni kazi ya kuhani mkuu
ambapo Biblia inafundisha Yesu ndiye alechukua nafasi hiyo badala ya wana wa Lawi Waebrania 5:1, 4, 5,10:
Wakatoliki tuambieni Maria aliwekwa na nani awe mwombezi na mpatanishi?
 
Hebu acha ukichaa kama mama yenu white. Lini kanisa limejaribu kuficha kufufuka kwa Yesu? Moja ya fundishonkuu la imani Katoliki ni Yesu alikufa, Yesu alifufuka na Yesu atarudi tena. Yani ndo nagundua nyie wasabato bado nimatapishi ya unabii ulioshindwa wa millarite movement. Hta ufanyeje nyie hata msichojua kuhusu kanisa Katoliki mkisha ambiwa mnadhani ndo ukweli. Halafu ona haya kusema eti amelishika kanisa katoliki pabaya. Katika watu ambao wala hatuwafikirii kama threatTuku ya uhai wa kanisa ni nyie wasabato.
Tulia kwanza ueleweshwe acha papara kama Otorong'ong'o .Rumi ya kipagani ndio ilikuja kuteka kanisa la wakati huo karne ya 3 wakati mfalme konstantine alipojifanya ameongoka na kusitisha mateso kwa wakristo. Jambo hili lilipokewa kwa furaha lakini waumini hawakujua lengo la mfalme wa rumi ilikuwa ni kujiimarisha zaidi kwa kupitia kofia ya dini na siasa. Taratibu upagani ukaanza kuingia kanisani na ibada ya sanamu iliyokuwa inafanywa na rumi ya kipagani ikaletwa kanisani.kanisa na dola ya kirumi ikawa kitu kimoja. Hata Biblia Halisi ikaanza kupigwa vita. Rumi ile iliyohusika kumtesa na kumuua Yesu ikaendeleza mateso kwa wafuasi wake waaminifu.Yapata wakristo milioni 50 waliuawa na dola ya kirumi na upapa. Muulize Padre wako atakueleza, kwani ukweli huu wanaujua.
 
Uko vizuri mkuu big up. SDA eschatology unaijua vizuri. Na watu kama wewe wanawaogopa kama ukoma. Hapa hawajaribu na wakija ni mauzauza tu! Ukweli they are not Christians!
ZIJUE SIFA ZA KANISA LA KWELI: karbun kam nilivyowahid ndo nawaletea. kanisa la kwel lazm liwe na sifa 10.likuw halna hata moja toroka tena kimbia.1.limuinue MUNGU(BABA,MWANA,ROHO MTAKATIFU)yoh 3:16. 2.linashika AMRI KUMI ZA MUNGU uf 14:12 .3.liwe linafundisha ROHO Y UNABII uf 19:10. 4.liwe na vita SHETAN uf 12:7-9. 5.liwe na mwanzo wake na uhakka wa kwamba MBINGUNI UTALIKUTA isa 66:22-23. 6.linamwamin YESU C MOHAMAD,WALA PADRI yoh 16. 7.liko tofaut na makanisa mengne ktk KUCHEZA,KUNYWA KDG UXLEWE.nk.mith 20:1,amoc 5:23. 8.linatunza SABATO YA AMRI KUMI yaan y jmoc. luk 23:54-56,kut 20:8-11. 9.lina MAGUGU NA NGANO yud 1:4. 10.linafuata nyayo z MANABII WA KWELI. isa 8:20.hii ndy KIPIMO/KIOO CHA KUCHUNGUZA KANISA LAKO KAMA LINAZO HZO SIFA ZOOTE.NG'ANG'ANIA WALA USIBANDUKE .N KAMA HALINA AU LIMEPUNGUA toroka tena liache kabxa kwan c stand yako kama msafiri w kwenda MBINGUN.
 
nyie wasabato lini mtafunguka bongo zenu
8d31ccac497e8b7976b47886aa7d98c9.jpg
 
Huu uongo hata mtoto mdogo humdaganyi.Ellen White amewashika pabaya vatican na jesuit yao hawana hoja.wakaamua kutunga uongo na upotoshaji mwingi kama baba zao warumi walivyojaribu kuficha taarifa za kufufuka kwa Yesu.Ukweli utakuweka huru ndugu,mwamini Yesu akuokoe dhidi ya udanganyifu wa Shetani.
Sasa hapo kuna uongo gani mkuu??? Kuwa Binti Ellen hakuwai kupata matatizo ya ubongo..?

Kuwa mama Ellen G White hakupata njozi za kusema alipelekwa mbonguni...? Au kile kitabu cha hukumu ya upepelezi ni cha uongo..?
 
Wasabato wapumbavu wanatafuta Kiki kupitia kanisa katoliki,,, ili kanisa liko imara haliwezi tikisika hata siku moja,, nyie Wasabato ni vichaa kwasababu tangu muanze kupinga kanisa katoliki hamjawai fanikiwa hata robo , pumbavu
Ukiona mtu anatukana matusi ujue anaongozwa na roho yule muovu. Tunda la Roho ni upole,uvumilivu,kiasi...
 
Rumi ile iliyohusika kumtesa na kumuua Yesu ikaendeleza mateso kwa wafuasi wake waaminifu
Kwahiyo Yesu aliteswa na Warumi...? Hii ni mupya ya mwaka 2017...,

Kumbe wale Mafarisayo na Masadukayo na Waandishi walifanya plot ya kumuua Yesu kumbe walikuwa Warumi .? Hii labda ipo kwenye ile biblia ya Kisabato...Aiseee!!! Kituko njoo ona maajabu huku....

Daah! Naomba nikuulize! Ulishawahi ugua kichaa...??
 
PAPA NI ANAKUFURU

Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!
TAKIBIIIR,.....TAKIBIIIR, TAKIBIIIIR.....Yesu Al Masihi Akbar, Yesu Al Masihi Akbar.
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
2839ab865a0a7aeab64c6026b1222e0c.jpg
 
Back
Top Bottom