Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Kwani kuna tofauti kati ya MSABATO NA MKRISTO?labda uje ja hoja zilizo wazi msabato sio mkristo?
Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?
 
MSIPOONYWA IBADA KAMA HIZI MTAACHA LINI?

5816b5aab9762b68b0023cd898828b0b.jpg
Shida ya vitu usivovijua ,et kuonya hapo ni kulazmisha unavyo abudu wewe ndo tufuate, hapo utawachukua wanao ijua imani katoliki juu juu
 
Kwani kuna dini iliyoenezwa bila kumwaga damu? Yesu mwenyewe alimwaga damu msalabani kwa ajili ya wanadamu , uislamu nao ulisambaa duniani kwa njia ya jihad sasa unashangaa nn hapo? Ukitaka kujipambanua kwa wanadamu ni lazima upambane.
 
Harafu hakuna watu wanafiki kama wasabato, tunaishi na nyie mitaan kwamba mnashika sabato wakati matendo machafu ambao ndo upagan wenyewe sasa, mnavyo igiza kuishi hamuwez yan full unafiki na uvugu vugu kila mkutanapo kanisa katoliki ,papa in short hamuhubiri injili, sorry kwa kuhukumu
 
Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?
Kaka huna evidence yoyote hapo 5oa truth evidence.....
 
Hongera kwa watajatifu wakatoliki.hizi na dakili za kuishiwa hoja unabaki kulalama tu.
 
Harafu hakuna watu wanafiki kama wasabato, tunaishi na nyie mitaan kwamba mnashika sabato wakati matendo machafu ambao ndo upagan wenyewe sasa, mnavyo igiza kuishi hamuwez yan full unafiki na uvugu vugu kila mkutanapo kanisa katoliki ,papa in short hamuhubiri injili, sorry kwa kuhukumu

Hongera kwako mtakatifu mkatoliki.naona umeishiwa hoja umebaki kulalama tu.
 
Wasabato bana. Jitahidini kuchafua labda kuna siku mtafanikiwa. Watu wanahubiri UPENDO nyie mnakomaa na kutunga uongo wa kuchafua madhehebu ya wengine. Sielewi ni mtin**d**I*ooo
 
Wasabato sio wakristo bali wapo karibu zaidi na uislam kwa maana principles zao zinaelekeana. Ni wafuataji wa sheria/sharia kuliko hata kristo mwenyewe. Ndiyo maana wanaitwa wa-Adventist wa Sabato, yaani msisitizo wao ni siku ya sabato wakati Yesu Kristo alisisitiza katika upendo zaidi. Hivi umewahi kusikia wasabato wakitajwa na waislam kama wamepotoka?
Huu ndio ukristo?

62967ca229e1c178a839b1a402f94601.jpg

Au huu upagan ndan ya katoriki na watoto wake warutheli ndio ukristo?
8903277ba8c9ed35e518b9743bcd48da.jpg
 
Kwani kuna dini iliyoenezwa bila kumwaga damu? Yesu mwenyewe alimwaga damu msalabani kwa ajili ya wanadamu , uislamu nao ulisambaa duniani kwa njia ya jihad sasa unashangaa nn hapo? Ukitaka kujipambanua kwa wanadamu ni lazima upambane.
Kuwa great thinker

Roman ilimwaga damu kwa kuwaua wakristo

Mfano john huss, tyndale

Inakadiriwa iliua wakristo Zaidi ya MILLION 50

d5e839497381679443e5f13402381adf.jpg
 
Kwa kujua historia ya kukaririshwa ndo kuwa great thinker!
 
Wasabato bana. Jitahidini kuchafua labda kuna siku mtafanikiwa. Watu wanahubiri UPENDO nyie mnakomaa na kutunga uongo wa kuchafua madhehebu ya wengine. Sielewi ni mtin**d**I*ooo
Hivi ibada kama hizi unachafuliwa nini

3d0853d321fa09d7434165cff40a22ca.jpg
 
Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri,
aliandika katika ungamo la Augusiburgi
(Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya
ya 9, maneno haya:
"Wao [Wakatoliki wa Roma]
wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa
Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya
Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia
sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni
mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya
Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile
Amri kumi."

d9555e92be50a2dc04a86920ab1e46c0.jpg
 
Busara kuu hii.
Mkuu kila nikiona hii ID yako huwa natabasamu sana!! Kuna jamaa yangu alilishwa nyama ya punda singida bila yeye kujua, baada ya mlo wakamwambia broo umekula MNYAMAKAZI!! Jamaa akazuga haaa kumbe tamu!!

Moyoni anawalaani wanyaturu mpaka yesu atakapoingilia kati.
 
Martin Luther, mwasisi wa kanisa la Kilutheri,
aliandika katika ungamo la Augusiburgi
(Augusburg Confession), sharti la imani la 28, aya
ya 9, maneno haya:
"Wao [Wakatoliki wa Roma]
wanadai kwamba Sabato ilibadilishwa na kuwa
Jumapili, siku ya Bwana, kinyume na ile sheria ya
Amri kumi,.. wala hakuna mfano wanaojivunia
sana kama huo wa kuibadili siku ya Sabato. Ni
mkuu, wasema wao, uwezo na mamlaka ya
Kanisa, kwa kuwa liliiondoa mojawapo ya zile
Amri kumi."

d9555e92be50a2dc04a86920ab1e46c0.jpg
Nikiwa napiga story na washikaji zangu, ilikuipa hoja yangu nguvu huwa ninauwezo wa kumsingizia mtu yeyote maarufu quotation, na hakuna ubishi ambao huwa naloose kwa mbinu hii.

Sasa na wewe "nyamabhi",unatumia mbinu chafu kama zakwangu!!

Mbona Luther aliendelea kusali jpili licha ya huo upupu uliobandika hapo.
 
Back
Top Bottom