God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Wasabato wenyewe kama wasabato hawajielewi wako kundi gani,tafuta msabato yeyote umuulizie, mpe dak 15 aeleze misingi ya usabato,akiweza kutumia dak 4 bila kutaja Papa na kanisa katoliki,nitafute nikupe zawadi ya mwaka mpya mkuu
