Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

We lazima ni msabato tu Roman Catholic Taifa kubwa, huwez kuja na hoja eti zilizoandikwa na magezeti sjui maneno ya watu acheni figisu hubirini neno la Mungu
Teh teh the...if wished were horses
 
Dini ni ujinga,

Dini si Mungu, Mungu si Dini

Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu

watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa

Heri ya mwaka mpya
nimeichukua mkuu
 
Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Pc tafadhar
 
Watu wajinga hawataisha duniani, hizi dini za kushambulia dini myingine ni dini za kipumbavu .. dini yako halisi ni kile unachowaza na kukitenda unapobaki peke yako/mwenyewe
 
Si bora angeingia kutuombea?? Wanakwambia mwaka ule 1844 Yesu alipotea njia kwa bahati mbaya akaingia patakatifu hekaluni...Tangu lini mbinguni kukawa na hekalu...?? Halafu jiulize Yesu anatuombea kwa nani angali Yeye ni Mungu..?

Wanakwambia aliingia huko eti kufanya hukumu ya upelelezi(Investigative Judgement)...Tangu lini Yesu anafanya upepelezi..?
Wasabato ni vichaa..

Mr. Mangi

JE MBINGUNI KUNA HEKALU
Ufunuo 11:19 "Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana".

YESU ANATUOMBEA KWA NANI? Waebrania 7:22, 23, 24, Na 25

22 basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.

23 Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na mauti wasikae;

24 bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.

25 Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Nini Hasa kilifanyika mwana 1844?

Hapa unapaswa kufahamu kwamba huduma za hekalu la duniani katika zama za wana wa Israel ilikuwa ni kivuli cha huduma za patakatifu pa Hekalu la Mbinguni. Ukisoma biblia katika kitabu cha kutoka kuanzia sura ya 8, utaona Mungu akianza kutoa maelekezo ya kujengwa kwa hekalu la duniani. Na Mungu mwenyewe akamwambia Musa afanye kama alivyooneshwa katika mlima. Kitabu cha Waebrania kinasema kwamba hekalu la Duniani lilikuwa ni nakala ya hekalu la Mbinguni. Kondoo aliyechinjwa zama za wana wa Israel aliwakilisha Yesu atakayekufa kwa ajili ya Wanadamu. Kuhani aliyehudumu kufanya upatanisho (Walawi 16) aliwakilisha Yesu atakayehudumu katika hekalu la Mbinguni baada ya kufa na kupaa kwenda Mbinguni. Huduma aliyoifanya kuhani Mkuu katika hekalu la Duniani mara moja kwa mwaka, yaani huduma ya siku ya upatanisho, ndiyo huduma aliyoianza Yesu katika hekalu la Duniani tangu October 22 Mwaka 1844.

Anapomaliza huduma hii nini kinatokea? Tunapaswa kutazama katika Walawi 16 ili kujua nini kilitokea kuhani Mkuu anapomaliza huduma yake katika Patakatifu pa Patakatifu Mbinguni. Hii itatusaidia kujua nini kitatokea pia Yesu anapomaliza huduma yake ya Ukuhani katika patakatifu pa patakatifu Mbinguni.

TANGU LINI MUNGU AKAFANYA UPELELEZI?
Yeremia 17:9-10

9 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?

10 Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.

Kabla Yesu hajafanya hukumu kwa walimwengu ni lazima ajiridhishe kwamba wanadamu hao wanastahili hukumu hiyo. Mwanzo 18:20,21
inasema

"20 BWANA akasema, Kwa kuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana,

21 basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.

Hapa ndipo inapoonekana upelelezi wa Mungu kabla ya hukumu yake. Ndicho kinachofundishwa na Kanisa la Waadventista Wasabato. Yesu anapokuja mara ya pili anasema anakuja "kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo". Ufunuo 22:12. Atawezaje kujua kazi yangu ilivyo bila kuchunguza kwanza? Ndio maana inaitwa investigative judgment. Anapokuja atakuwa ameshafanya uchunguzi/upelelezi Na kujua ni nani anafaa Na ni Nani hafai.
 
Unapotoa nukuu za biblia uwe umezitafakari. "Ufunuo 11:19 b, nikaona radi... na tetemeko la nchi". Hilo tetemeko lilitokea mbinguni? Jibu ni wazi ni hapana. Haya yalikua maono na yanatafsri pana. Usitudanganye ndugu. Pia umenukuu kutoka waebrania kuwa Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililobora zaidi. Ni agano lipi hilo? Bila shaka ni agano jipya. Ni ukweli usiofichika kuwa torati ilififia, ikawa na mapungufu na tukapewa agano jipya hilo ulilolinukuu. Shida mnang'ang'ania torati amabayo ilifubaa! Mwisho kabisa upelelezi unaozungumziwa hapa sio. Tangu ukiwa tumboni mwa mama yako Mungu alikujua. Bwana anazijua njia zako zote. Kusema 1884 Yesu alianza kutupeleleza mmmh! Hii ni tafsiri ya sda. Calvari yote yaliisha, agano la kale likafungwa na jipya ambalo tunafanywa wana wa Mungu bila kujali myebusi, mhiti ....... likafunguliwa. 1884 ni juhudi za kulinda makosa yenu! Sikuhukumu kaka haimaanishi mbinguni huendi. Utaenda kulingana na imani yako kwa Mungu!
 
Ungekuwa na akili timamu ungesoma mbele kidogo..

Ufunuo 21:22
"Nami sikuona hekalu ndani yake, maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana Kondoo, Ndio hekalu lake....

Sasa huo ungo wa Hekalu unautolea wapi...??

YESU ANATUOMBEA KWA NANI? Waebrania 7:22, 23, 24, Na 25
Yesu ni Mungu, Tangu lini Mungu akamwimbea Mwanadamu....

Huu uongo peleka kwenye Makambi ya Kisabato[/QUOTE]
 
Unapotoa nukuu za biblia uwe umezitafakari. "Ufunuo 11:19 b, nikaona radi... na tetemeko la nchi". Hilo tetemeko lilitokea mbinguni? Jibu ni wazi ni hapana. Haya yalikua maono na yanatafsri pana. Usitudanganye ndugu. Pia umenukuu kutoka waebrania kuwa Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililobora zaidi. Ni agano lipi hilo? Bila shaka ni agano jipya. Ni ukweli usiofichika kuwa torati ilififia, ikawa na mapungufu na tukapewa agano jipya hilo ulilolinukuu. Shida mnang'ang'ania torati amabayo ilifubaa! Mwisho kabisa upelelezi unaozungumziwa hapa sio. Tangu ukiwa tumboni mwa mama yako Mungu alikujua. Bwana anazijua njia zako zote. Kusema 1884 Yesu alianza kutupeleleza mmmh! Hii ni tafsiri ya sda. Calvari yote yaliisha, agano la kale likafungwa na jipya ambalo tunafanywa wana wa Mungu bila kujali myebusi, mhiti ....... likafunguliwa. 1884 ni juhudi za kulinda makosa yenu! Sikuhukumu kaka haimaanishi mbinguni huendi. Utaenda kulingana na imani yako kwa Mungu!
Mkuu, hawa viumbe wanasikitisha sana..

Tangu lini Yesu akafanya hukumu ya upelelezi..? Anampeleleza nani angali kifo na ufufuko wake ndio kilimaliza kila kitu
 
Hekalu la mwaka 1844 ndo hekalu gani? Wakati Yesu anahudumu katika hekalu la mbinguni tu?
JE MBINGUNI KUNA HEKALU
Ufunuo 11:19 "Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana".

YESU ANATUOMBEA KWA NANI? Waebrania 7:22, 23, 24, Na 25

22 basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.

23 Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na mauti wasikae;

24 bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.

25 Naye, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.

Nini Hasa kilifanyika mwana 1844?

Hapa unapaswa kufahamu kwamba huduma za hekalu la duniani katika zama za wana wa Israel ilikuwa ni kivuli cha huduma za patakatifu pa Hekalu la Mbinguni. Ukisoma biblia katika kitabu cha kutoka kuanzia sura ya 8, utaona Mungu akianza kutoa maelekezo ya kujengwa kwa hekalu la duniani. Na Mungu mwenyewe akamwambia Musa afanye kama alivyooneshwa katika mlima. Kitabu cha Waebrania kinasema kwamba hekalu la Duniani lilikuwa ni nakala ya hekalu la Mbinguni. Kondoo aliyechinjwa zama za wana wa Israel aliwakilisha Yesu atakayekufa kwa ajili ya Wanadamu. Kuhani aliyehudumu kufanya upatanisho (Walawi 16) aliwakilisha Yesu atakayehudumu katika hekalu la Mbinguni baada ya kufa na kupaa kwenda Mbinguni. Huduma aliyoifanya kuhani Mkuu katika hekalu la Duniani mara moja kwa mwaka, yaani huduma ya siku ya upatanisho, ndiyo huduma aliyoianza Yesu katika hekalu la Duniani tangu October 22 Mwaka 1844.

Anapomaliza huduma hii nini kinatokea? Tunapaswa kutazama katika Walawi 16 ili kujua nini kilitokea kuhani Mkuu anapomaliza huduma yake katika Patakatifu pa Patakatifu Mbinguni. Hii itatusaidia kujua nini kitatokea pia Yesu anapomaliza huduma yake ya Ukuhani katika patakatifu pa patakatifu Mbinguni.

TANGU LINI MUNGU AKAFANYA UPELELEZI?
Yeremia 17:9-10

9 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?

10 Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.

Kabla Yesu hajafanya hukumu kwa walimwengu ni lazima ajiridhishe kwamba wanadamu hao wanastahili hukumu hiyo. Mwanzo 18:20,21
inasema

"20 BWANA akasema, Kwa kuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana,

21 basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.

Hapa ndipo inapoonekana upelelezi wa Mungu kabla ya hukumu yake. Ndicho kinachofundishwa na Kanisa la Waadventista Wasabato. Yesu anapokuja mara ya pili anasema anakuja "kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo". Ufunuo 22:12. Atawezaje kujua kazi yangu ilivyo bila kuchunguza kwanza? Ndio maana inaitwa investigative judgment. Anapokuja atakuwa ameshafanya uchunguzi/upelelezi Na kujua ni nani anafaa Na ni Nani hafai.
 
Hicho kitabu naweza kukipata wapi?
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote
waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"

Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.

Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai

Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...

Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.

JE_WAMEISHIA_HAPO_TU

"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.

Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
 
We karumekenge umekuja..??

Naomba nikuulize, hivi na nyie Wasabato mnasherekea mwaka mpya wa Kikatoliki 2017..?

Kingine Wasabato nchi nzima mpo pungufu ya 50,000 ila mperanganyika vibaya mno
Kuna Wasabato Masalia
Wasabato Marekebisho
Wasabato Matengenezo
SDA
Wasabato Mapinduzi

Nyie wote ni kundi moja chini ya yule mama aliyekuwa kichaa na kuwa kwenye coma kwa miaka 12, ni bibi Ellen Gould White
Haya matusi yanakusaidia nini katika wokovu?
 
Tulipo ambiwa tusi zungumzie faru John mpaka serikali itoe tamko. Na tusizungumze na mambo mengine ya kimaendeleo.. Ndiyo wameuwa kutuletea hizi Mada Za dini naona zimefatana week mbili sasa. Mnajidanganya jamani kuweni na imani kuwa mungu yupo lakini sio mnapondeana dini mwisho wake sio mzuri mtaeka chuki na mwisho wa mchezo itakuwa hasira. Tujifunze kitu wana jamiiforum sisi ni wanachama wenye imani tofauti na hili ni sehemu sahihi ya kuelimishana au kukumbushana Ila isiwe kupondana• mtaani njaa imekamata kinyama January hii
 
Hakika Shetani amefanikiwa kwa 90% kuilaghai dunia lakini kashindwa kujiokoa katika sikuile kwa 100%.

Mwenye kutenda uovu na azidi Sana kwa maana saa imekaribia.

Barikiweni.
 
We lazima ni msabato tu Roman Catholic Taifa kubwa, huwez kuja na hoja eti zilizoandikwa na magezeti sjui maneno ya watu acheni figisu hubirini neno la Mungu

Ni kwlei Uroma ni taifa kubwa, Hata yeye hajakataa. Njia iendayo uzimani ni nyembamba na waionayo ni wachache, bali njia iendayo upotevuni ni pana na waipitayo ni wengi. Hakuna asiyejua Catholic ni taifa kubwa, njia pana!. Tatizo liko wapi?

Halafu unasema ahubiri neno la Mungu, kwani hapa kahubiri neno la nani? Ingelikuwa vyema ungesoma mistari aliyoiandika ukaona kama si Neno la Mungu. Au neno la Mungu kwako ni lipi?
 
Pole sana mtoa mada. Kanisa katoliki lina misingi imara ya kiimani. Kanisa katoliki halitateteleka kwa UPUUZI kama huo.
Kanisa katoliki limejikita katika nyanja kuu ambazo kwazo limefikia hapa lilipo sasa.
Pamoja na kuinjilisha, kanisa katoliki limejikita sana katika ELIMU, AFYA na MIUNDOMBINU anuwai. Ndiyo maana kanisa hili lina maendeleo makubwa sana hapa nchini na duniani kote.
Pia kanisa hili lina wasomi sana. Huwezi kumkuta padre wa darasa la saba hata kidogo.
Tatizo lenu ninyi huko kwingine wachungaji wenu hawana ELIMU, wanaongozo mambo kwa kukisia kisia tu.
Athari za viongozi wasio na Elimu ni kwamba, badala ya kuhubiri na kuhamasisha waamini wake kusoma na kujikita kufanya mambo ya msingi wao wanaishia kulilalamikia kanisa katoliki. MSIPOBADILIKA MTAISHIA KULAUMU MPAKA SIKU YA MWISHO.
 
Ninyi hamna tofauti na mafarisayo na Yesu alisema vema juu yenu; "Wakati ule Yesu akajibu akasema, nakushukuru Baba wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga". Mathayo 11:25.
wewe unajivunia usomi wakati kanuni ya mbingu ni tofauti na hekima ya kidunia. mnaonyesha kuwa kanisa lenu ndiye yule Mpinga Kristo halisi.
 
Back
Top Bottom