Kabisa yaani majina hayo yalinisumbua kinoma na nikiuliza watu wangu wa karibu wananiambia ni dini za waisrael kipindi hicho..
I never knew kwa kweli..
Mkuu niongezee nyama kidogo kwa hiyo wasabato hawaliamini agano jipya na mafundisho ya Yesu?
Mkuu, Agano jipya linakamilika baada ya Yesu Kufufuka....Yani Ufufuko wa Yesu ndio mpango mzima wa Ukombozi...Bila ufufuko hakuna Ukristo...
Hata mitume kina Paulo waliandika habari za Yesu baada ya Yesu kufufuka....Walipata nguvu mpya baada ya ufufuko....Na kazi ya Ukombozi Yesu aliikamilisha pale Msalabani..
Sasa imagine, wasabato Wanadai Yesu hakumaliza Kazi ya ukombozi,maana yake Yesu Hakufufuka....Moja kwa moja hawa viumbe hawaamini Ufufuko wa Yesu(Sio Wakristo)...
Wanadai eti Yesu aliingia Pa takatifu pa patakatifu kufanya hukumu ya upelelezi....Yesu, anafanyaje tena hukumu ya upelelezi, ana mpeleleza nani..? Angali alishamaliza yote Msalabani....?
Ukiwauliza hizo ngonjera mmezitolea wapi, wayakwambia eti Bibi Ellena White alichukuliwa mbinguni akaoneshwa....Hivi ni vichekesho...Maana Ellen White alikuwa kichaa, alianguka akapigiza kichwa akiwa na umri wa miaka 12..., alikaa katika Coma kwa miaka 10. Hivyo msichana Ellen White hakupata Elimu kabisa maana alikuwa Hospitali muda wote...
Pia alikuwa chini ya uangalizi wa Madaktari wa magonjwa ya akili, na inasemekana alikuwa akiota ndoto za ajabu ajabu kutokana na disturbance ya ubongo aliyopata..
Imagine, ndio ameota ndoto za kuoelekwa mbinguni na kuoneshwa kitabu cha hukumu....Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza amini huu upuuzi tena kwa mtu ambaye alikuwa kichaaa.....??
Kwa hiyo moja kwa moja SDA ni Wapinga Kristo...
Wakristo, (N:B Wasabato sio Wakristo) Bila ufufuko wa Yesu, hakuna Ukristo...Tunaitwa Wakristo kwasababu Yesu alishinda mauti akafufuka siku ya 3..... Hvyo kila Jumapili Wakristo wote tunaadhimisha pasaka ndogo, ndio siku aliyoifanya Bwana.....
Sasa ndugu zetu hawa hawaamini katika ufufuko wa Yesu, ndio maana hawasali Jumapili...Hawa ni Wapinga ufufuko, ni wapinga Kristo....