Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,709
Reaction score
25,487
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
 
Ameachana na siasa, kwa vile utekaji na mauaji hayo ni ya kisiasa yeye hayamhusu tena .
 
Kustaafu raha ukiwa umejipanga Lakin kustaafishqa usiombe. Ndio yaliyomkuta. Mwamba
 
Alisema anaenda kufanya biashara zake. In fact kwa sasa ni mfanyabiashara, ni sawa hilo swali umuulize MoDewji au Bakhresa
 
Mwacheni apumzike.

Si rahisi sana kutukanwa na kubagazwa na watu ulio walea.
 
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Huu sasa ni ukosefu wa uungwana. Akemee kama nani? Mbona umoja wa wamiliki wa malori hawajakemea na huwasemi?
 
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Tafuta clip akielezea kuhusu kutekwa Soka
 
Ni kama vile anawatazama kupitia side mirror, huku akishushia mvinyo mmoja matata.

sio tu, anawacheki, bali anasubiri kuona kama kuna ambao wataweza kufikia hata robo ya hustle zake?

kifupi anatamani waliopokea kijiti washindwe,ili ile kauli ya tajiri akimsaidia maskini itimie. kwamba bila mie leo hii angekuwa wapi.

lakini sioni akifua dafu kwa roho za watu wenye nia njema na taifa lao wakiamua ku set. mipango iliyochagizwa na Mungu.
ila pamoja na yote yanayoimbwa mtaani, naona ili Mbowe awe na amani ni lazima aungane na wenzie,
vingenevyo ukimya wake ni mateso pia kwake.
 
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Kwasababu hayampi PESA
 
Back
Top Bottom