Anjitoa ufahamu mchana kweupe, ulifaulu vipi mitihani huyu mtu halafu anajiita DOPEBOY.Vijinaume-jike vya Daslam utavijua tu, eti mwanza kijiji!!
Hivi mwanza hakuna supermarket kabisa??Acheni kumpuuza mleta mada kwa kutoka mapovu mengi Sijaona hata mmoja aliyeweza kueleza maana ya jiji ni nini, ila Nijuavyo pamoja mambo yote kuwepo mwanza hayo aliyoyataja mleta mada yanatakiwa yawepo katika jiji lolote. Labda mwambie hivyo vitu vitakuja baada ila kuitwa jiji hizo huduma zilitakiwa kuwepo, huwezi kuita duka la kawaida super market.
DuhKaka kuna huduma sehemu ikiitwa jiji LAZIMA iwe nazo, I have travelled ----- wewe, and i travel, services kama hizo ni lazima if you want to be really urban, no wonder watu wa mwanza hawana ile urban touch. Mbona Arusha wanazo? Dar naiweka pembeni.? yani nikiwa mwanza najiona kama nipo mbali sana na ulimwengu, so out of touch. My opinion usinimind.
Rudi chuga basis mboyoyo za niniMwambie huyo , dar ni metropolis. Majiji yote yana basic services na ziada, we kama unaona movie siyo ishu , ndio maana wa Mwanza. Hujazoea, mshamba. wengine its just part of life. Mbona nikiwa Arusha i get all that? I shop at cool stores, i go to theatres? i feel global?
Huyu DOPE ana hela basi ama dish limeyumba anatusumbua tu. Amekariri kila supermaket mjini ni ya narkumat, utahangaika wewe uliza wenyenji wakuongoze. Upo jijini na siyo ulikotoka.Hivi mwanza hakuna supermarket kabisa??
Mwanza ni kijiji kikubwa cha wavuvi.
Walinzi wetuWala mapanki
Walinzi wetu
80%Ya wamasai wamazurura, kuuza dawa za kienyeji, na kupaka kucha rangi na wachache wanaujira wa kulinda majumba ya matajiri.70% ya wananchi was Mwanza wanaishi milimani ambako hazifiki ambulance, fire wala hakina huduma za maji na afya
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
80%Ya wamasai wamazurura, kuuza dawa za kienyeji, na kupaka kucha rangi na wachache wanaujira wa kulinda majumba ya matajiri.
Hivi pamoja na usomi wako na kuwa admitted kwenye chuo fulani AMAIZING hujui sifa za sehemu kuitwa Jiji?Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?