nyanzara
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 688
- 289
Lazima atakuwa wa huko huko.Kwani aliyeanzisha huu uzi ni wa kaskazini...?au umekariri maisha...!?
Lazima atakuwa wa huko huko.Kwani aliyeanzisha huu uzi ni wa kaskazini...?au umekariri maisha...!?
Hiyo Si ya Jana tuYaani hata "Ghana" hujaenda kwenye ile Shopping Mall kali kuliko zote???
Ulikua Mwanza ipi??
Ulitaka ya karne gani we msomi?Hiyo Si ya Jana tu
INTERESTING MKUU.Big village
Jiji gani bhanaa?,vinyesi kila kona,wakoma wamejaa kila kona wametupwa na serekali wala hawatibiwi coz madawa hakuna,typhoid imezagaa lake victoria yote kwa sababu mavi yote ya jiji yanatiririka humo,malaria ndio bingwa Mwanza kachukua kombe.Unadhani Mwanza kutokuwa na hivo ulivovitaja ndo vigezo vya kuwa / kutokuwa jiji?
Mtu anasema kweli wewe unamwanbia akale maandazi,na wewe kale michembe ufunge choo au vipi?Wewe wewe kale maandazi ulikotokea!
Wewe ngosha,hivi usipomtukana Lowassa unapungukiwa kitu?,jamaa ni matawi ya juu,umchukie usimchukie humpunguzii kitu,zaidi unapata laana kutukana mzee anaeweza kuwa baba au babu yako,kama ni fisadi mwambie ngosha mwenzako ampeleke ile MAHAKAMA YENU YA MAFISADI mlioahidi,mmekalia kunywa uji wa chumvi na malimao,sukari imekuwa Tanzanite,na bado,hayo ni manyunyu tu mpaka mkishakwisha kwa KWASHKOOO NDIO MTAACHA KUKURUPUKA.Usituletee siasa za EL akiwa CCM aliitwa Waziri Mkuu Aliyejiuzulu sasa kahamia CDM anaitwa Waziri Mkuu Mstaafu.
Hivi nyie kina Ndokeji na kina Makoye na kina Mayombo na kina Jilala etc,etc,mkiona mtu anakosoa mwanza,mnaanza kuhara uharo,asiekubali kukosolewa ni mtwana au mtumwa.kuna watu wengine ni vichwa vya mende...huyu naye amekuwa admitted kama mwanachuo hajui hata sifa ya jiji ... dx..psy.
Tx...milembe
Kwani uliambiwa Theatre asili yake ni Hollywood?,au umsikia neno hollywood kwenye kilabu cha kangara wakati umelewa nini?Ooh nataka niende movie theatre ..pumbavu umeambiwa mwanza ni holly wood
Kwa hiyo na wewe umejiunga na kaka zako kina Shilinde na KINA Bogohe na kina Shija,kina Ndilizu,kina Kahungwa baasi wote ni kuitetea Mwanza hata kama kuna mapungufu eti? Wahindi wamemaliza samaki woote ziwa Nyanza halafu wamewajengea sanamu ya samaki anarusha maji,mkiisha shiba MICHEMBE mnajazana kuangalia samaki anarusha maji huku mnaimba wimbo wenu wa TUNAJIGOMBOLA NGOMBOOOO,eti tumejikomboa,.,,.....kwa kitu gani?Pamoja na usomi wako na kuchaguliwa kuingia chuo hujui nini maana na Jiji???
Hebu rudi shule ujue maana ya Jiji kwanza. ...
Sasa na wewe Muhindi wa Bombay,mmeshaiba maliasili ya samaki wa ziwa Nyanza wote na pesa mnapeleka Canada na USA,UK,malipo kwa Wasukuma ni lile sanamu la samaki linarusha maji,ama kweli nyie Wahindi ndio maana huwa mnachomwa moto mkifa,haya sasa umeungana na Wanyantuzu humu kumuandama mleta mada,duuh nyie Magabachori nuksi,yaani mnajifanya mnawapeeeeenda sana Wasukuma huku mnawaita MAGOLO.we kaka acha majungu!!
afu hizo tabia za michicha au visamvu
wanaume badala muwaze vitu vya maana
mnakuja kuleta mada za kijinga humu.. hivi ni nani kawaroga??
ndo mana mnaitwa wanaume wa Dar
Jibu kwa hoja ,acha maswali ya uchokozi bhana wewe mla michembe.We unatokea sehem gani Tanzania?
Kwa hiyo kusema kweli ndio amekuwa hajitambui?Wewe haujitambui
Wewe kweli saa mbovu,tena saa yenyewe inaitwa MAKOYE,imetengenezwa na Mwanamalindi kwenye kangara.Elimu ya Darasa la Tano ya Kutambua Jiji, Mji, Manispaa etc inakushinda halafu unajifanya mwanachuo.. fikiria kabla ya kutoa thread... kwa akili yako ungekuwa unafikiria wala usingejiunga na JF na kama ulivyojiunga basi ubaki kusoma comments na thread za GTs tu.
Wewe mjuaji bado hujaona magonjwa ya milipuko Mwanza yanavyoua kina MAKOYE?Na umri huo hujui vigezo vya mji kuwa jiji!? shame.
nafikiri una njaaa..Sasa na wewe Muhindi wa Bombay,mmeshaiba maliasili ya samaki wa ziwa Nyanza wote na pesa mnapeleka Canada na USA,UK,malipo kwa Wasukuma ni lile sanamu la samaki linarusha maji,ama kweli nyie Wahindi ndio maana huwa mnachomwa moto mkifa,haya sasa umeungana na Wanyantuzu humu kumuandama mleta mada,duuh nyie Magabachori nuksi,yaani mnajifanya mnawapeeeeenda sana Wasukuma huku mnawaita MAGOLO.
Hapana sina njaa,mimi sijafunga,huwa nafunga quaresma,hiyo ni tosha kwangu,ila wewe umeweka picha ya gabacholi kwenye avatar yako,kwa hiyo wewe ni gabacholi,kama siyo basi unawafagilia magabacholi,na ndio maana wamekujengea sanamu ya samaki anarusha maji,na wewe unachekelea he he heeeee jiji letu la mwanza TWAHILAGA MAMI.nafikiri una njaaa..
ngoja futari..
sijakuelewa kabisa
He he heee hivi hujui tabia za visamvu sasa hivi ni dili?,watu wanalazimisha wenzao wale kisamvu.we kaka acha majungu!!
afu hizo tabia za michicha au visamvu
wanaume badala muwaze vitu vya maana
mnakuja kuleta mada za kijinga humu.. hivi ni nani kawaroga??
ndo mana mnaitwa wanaume wa Dar
Degree za pale SAUT Malimbe Nyasaka nyigi za kununua na zingine za chupi,au umesahau?na kama walizubaa kipindi ambacho wao ndo walikuwa wasomi pekee...wasahau kabisa kutoa raisi kipindi hiki ambacho makabila yote yana watu wenye degree