Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hivi Mwanza nalo Jiji?

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

Hakika ukifuatiliwa wewe tutakuta umezaliwa ovada huko kondoa vijijini.Watanzania tunashida

we toka tu povu lakini mji wenu, hovyo out of touch na dunia. Mara sabini ata arusha. Very diplomatic, very civil. Mwanza kwanzia leo mi kwangu ni mji mkubwa tu lakini hauna tabia za majiji ya dunia niliyotembea. Yani ni out of touch na ulimwengu.

Umetembea majiji gani ya dunia?@ dopeboy

Dogo sasa si urudi Arusha kama Mwanza imekudisappoint, maneno mengi hayakusaidii hapa, fungasha rudi Arusha amboko hivyo unavyovitaka vipo

Acheni kumpuuza mleta mada kwa kutoka mapovu mengi Sijaona hata mmoja aliyeweza kueleza maana ya jiji ni nini, ila Nijuavyo pamoja mambo yote kuwepo mwanza hayo aliyoyataja mleta mada yanatakiwa yawepo katika jiji lolote. Labda mwambie hivyo vitu vitakuja baada ila kuitwa jiji hizo huduma zilitakiwa kuwepo, huwezi kuita duka la kawaida super market.

ALIJUA JIJI NIKUWA NA NAKUMAT SUPERMARKET.Hajauliza mbeya na tanga kuna nini.mbona arusha kwa mwanza mwanza ni zaidi?

Ni muendelezo tu wa bifu kati ya watu wa dar na kanda ya ziwa jf

Umetembea majiji gani ya dunia?@ dopeboy

Johannesburgh , london , birmingham, NEW YORK., and now about to hit Oslo ,Amsterdam, Maastrich and Bergen. I know what am talking about.

Cinema ndio inafanya jiji liitwe jiji na nakumatti jamaa jinga kweli kweli

Kaka kuna huduma sehemu ikiitwa jiji LAZIMA iwe nazo, I have travelled ----- wewe, and i travel, services kama hizo ni lazima if you want to be really urban, no wonder watu wa mwanza hawana ile urban touch. Mbona Arusha wanazo? Dar naiweka pembeni.? yani nikiwa mwanza najiona kama nipo mbali sana na ulimwengu, so out of touch. My opinion usinimind.

Pamoja na usomi wako na kuchaguliwa kuingia chuo hujui nini maana na Jiji???

Hebu rudi shule ujue maana ya Jiji kwanza. ...

Usikurupuke tu, navijua, ila nachoongelea hapa ni services, i dont feel nipo kwenye modernised city hapa!!naskia kama nipo tu shamba, even the people

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

Japo una point jifunze kujenga hoja!

1. Ni vigezo gani vinatumika kufanya sehemu fulabi kuwa jiji?
2. Let's get back to what you just said about Dar Es Salaam and Arusha, hivi wakati Dar inafanywa kuwa jiji, ili kuwa na shopping mall, supermarkets, 'online city advert ngapi'?

Au ilikuwa ni kutueleza umefanikiwa kuchaguliwa chuo Mwanza.

Hapa Dar yenyewe Shopping Mall za kuhesabu(In comparison na Kisumu tu leave Nairobi out of the picture) sasa unaongea nini wewe?

kipimo na ujinga na upumbavu ni kuishi kwa fikra za kuamini katika movie...stop being stu.pidy

Mwambie huyo , dar ni metropolis. Majiji yote yana basic services na ziada, we kama unaona movie siyo ishu , ndio maana wa Mwanza. Hujazoea, mshamba. wengine its just part of life. Mbona nikiwa Arusha i get all that? I shop at cool stores, i go to theatres? i feel global?

Japo una point jifunze kujenga hoja!

1. Ni vigezo gani vinatumika kufanya sehemu fulabi kuwa jiji?
2. Let's get back to what you just said about Dar Es Salaam and Arusha, hivi wakati Dar inafanywa kuwa jiji, ili kuwa na shopping mall, supermarkets, 'online city advert ngapi'?

Au ilikuwa ni kutueleza umefanikiwa kuchaguliwa chuo Mwanza.

Hapa Dar yenyewe Shopping Mall za kuhesabu(In comparison na Kisumu tu leave Nairobi out of the picture) sasa unaongea nini wewe?

Kaka i have been around kidogo, wacha uongo, kisumu na dar? acha zako.

Mwanza ni Ville kama ilivyo Arusha ,Dar, Mbeya

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

Kwahiyo wewe mleta mada ili mahala paitwe
jiji inabidi pawe na duka la NAKUAMAT...?

For what i know, the term dope can be defined as (An ignorant or foolish person)! So sishangai kuona jamaa (dopeboy) anabehave accordingly...hongera zake.

Back
Top Bottom